TV ya Tajiri Mohammed Dewji yawashangaza wengi Mitandaoni, Watu wanadai eti ni ya bei poa

Mawazo bwana. Kwao wanafikiri kila binadamu anamiliki TV set moja, nyumba moja, gari moja, simu moja etc hivyo akipiga picha na kitu fulani ndicho hicho hicho. BTW kuna watu wengine tena matajiri huwa hawaangalii TV.
Mimi mmoja wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…