TV ya Tajiri Mohammed Dewji yawashangaza wengi Mitandaoni, Watu wanadai eti ni ya bei poa

TV ya Tajiri Mohammed Dewji yawashangaza wengi Mitandaoni, Watu wanadai eti ni ya bei poa

That’s obviously!

Kwa pesa zake zile unaanzaje kuona dosari.?

Tunaoumia ni sisi, pesa hatuna na hata miili ya mvuto imegoma... mtuhurumie tu nasi tusimamie ukucha.

😄😄😄😄Nop mie sijaangalia kwa jicho la utajiri wake mkuu..sasa we account ikiraise Sana ni 2m lakini kitambi kikuuubwa😛😛!hahhaaa..huu mwichi hata beach unachetuka naye tu😋
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nop mie sijaangalia kwa jicho la utajiri wake mkuu..sasa we account ikiraise Sana ni 2m lakini kitambi kikuuubwa[emoji14][emoji14]!hahhaaa..huu mwichi hata beach unachetuka naye tu[emoji39]

Basi sisi tumekua tukiaminishwa bila kitambi wewe ni njaa tu, ilikuwa hata ukigombea mwenzio ana kitambi atakushinda asubuhi tu.

Basi huku na huku nasi tumepata kaunafuu kidogo tukafuga vitambi, ghafla upepo umegeuka tena na heshima zinashuka.

Basi acha tuendelee kuvifutia simu tu!
 
😄😄😄 Una jero hapo uniassist
 
Back
Top Bottom