TV ya Tajiri Mohammed Dewji yawashangaza wengi Mitandaoni, Watu wanadai eti ni ya bei poa

TV ya Tajiri Mohammed Dewji yawashangaza wengi Mitandaoni, Watu wanadai eti ni ya bei poa

Mimi nina tv ya laki 5.[emoji16][emoji16].
20200609_190800.jpg
 
Simu ya dangote ukiiona,unaweza kudhani kuwa ni ya bei rahisi,iko kama nokia kitochi iviiii...nenda kaangalie features zake sasa ndo utajua tajiri sio mwenzako
 
Binafsi sioni shida YOYOTE ila najua kuna masuala mengi ya msingi ya kujua kabla ya kuchangia hii mada
1. Hiyo TV inafanya kazi iliyokusudiwa vizuri?
2. Hiyo TV ipo upande gani kwenye nyumba? (Inaweza kuwa Ofisini (ofisi ya Nyumbani), Chumbani au pengine Jikoni. Kimsingi mtu muelewa hawezi kuweka Tv la Inchi 60 ofisini, au Chumbani nk
3. Unahakika gani kuwa hapo ni Nyumbani kwake anapoishi

Lakini mwisho kabisa na muhimu pia
Mtu akisha fikia standard flani ya maisha (Self actualization) kinachomata zaidi kwake ni kuwa na vitu vinavyofanya kazi iliyokusudiwa Vizuri na sio ulimbukeni wa kununua vitu Vipya kila siku
Kwa maendeleo ya Science na Techn bidhaa mpya zinatoka kila siku; kama watu wenye hela hawangekuwa na utaratibu wa kuridhika na vile walivyonavyo basi kila miezi kadhaa au pengine Kila mwaka wangelazimika kubadilisha vitu vyao vyote vya ndani
 
Back
Top Bottom