TV ya Tajiri Mohammed Dewji yawashangaza wengi Mitandaoni, Watu wanadai eti ni ya bei poa

TV ya Tajiri Mohammed Dewji yawashangaza wengi Mitandaoni, Watu wanadai eti ni ya bei poa

Mara oooh tajiri hana muda wa kuangalia tv.mara vitu vya thaman ni sisi maskini ndio tunapenda kuliko matajiri.

.kwanza si kweli kwamba sisi walala hoi ndio tunapenda kuangalia tv,muda mwingine huna mchongo wowote sasa ukazurure mtaan je naul yenyewe unayo.

Kuhusu tv ,hiv mnajua thaman ya hiyo tv au mmeangalia umbo tu mkajua ni star x eee.tunapenda vitu vya thaman kwa sababu ya ubora wake,sio kwa sababu sina hela basi ndio nitumie tv yenye ubora mdogo ikae siku mbili izingue.

Tv ikiwa kali hata unakopesheka utatue tatizo la ghafla,sasa wewe kuwa na vitu vya hovyo uone unavyofeli.

Msituseme sana sisi wenye life la hapa na pale,yan leo fresh kesho njaa,leo mchongo kesho patupu
 
Maskini ndio huhangaika na vitu vya kutafuta sifa. Warren Buffet tajiri namba nne duniani anakaa kwenye nyumba ya kawaida ambayo alikuwa anaishi tokea akiwa bado kapuku.
Je unajia nyumba zake zote ??
 
Mimi labda kitakachonishangaza anapata wapi muda wa kuangalia tv.
Mm tu Mwakatafuta Atupatipo sipati muda wa kutazama kwa sabb za ku hustle mpk time inakuwa haitoshi kukaa kuangalia tv,je yy mwenye mikampuni?
Yeye katengeneza mfumo watu wengine wanamfayia kazi,yaani hata asipoenda kwenye miradi yake kazi zinaenda tu na pesa zinaingia kama kawa
 
Aliewaambia ni sitting room ni nani?
Maskini buana, tuna shida kweli
 
Maskini ndio huhangaika na vitu vya kutafuta sifa. Warren Buffet tajiri namba nne duniani anakaa kwenye nyumba ya kawaida ambayo alikuwa anaishi tokea akiwa bado kapuku.
Kwa hiyo unataka watu wote tufanye kama yeye anavyoishi? 😠
 
Wahindi wana laana ya kuabudu Pesa hao, hapo hata chakula anachokula ukikiona utasikitika
 
’Mo Electro’ ni TV uchwara za kampuni yake, zipo K/koo kumbe yeye hazitumii..!!
 
Back
Top Bottom