TV ya Tajiri Mohammed Dewji yawashangaza wengi Mitandaoni, Watu wanadai eti ni ya bei poa

TV ya Tajiri Mohammed Dewji yawashangaza wengi Mitandaoni, Watu wanadai eti ni ya bei poa

Tuliona simu ya Dangote tukashangaa. Tukaja kujua model yake tulivyogoogle tukashika adabu.

Kwa anayejisikia kugoogle acheki Nokia Vertu.

Waweza kuta hiyo tv inanunua hisense smart za inch 43 za kutosha tu.
 
Mo angekua mzungu ungekuja na kauli kua "Wazungu hawana makuu hata kama fedha ipo!"
 
Nasikia utajiri wake ni wamasharti...hata magari yake yanayosambaza biashara zake ni moshi mtupu na kelele kama bata vuzi...utajiri wa aina hyo una faida gn?
Yaani hiki ulichoandika hapa wanyonge/ma jobless tukiona tunafurahi mpk tunalala usingizi mnono kama vile itatusaidia na sisi kutoboa kwny maisha.
 
Maskini ndio huhangaika na vitu vya kutafuta sifa. Warren Buffet tajiri namba nne duniani anakaa kwenye nyumba ya kawaida ambayo alikuwa anaishi tokea akiwa bado kapuku.
 
Mimi labda kitakachonishangaza anapata wapi muda wa kuangalia tv.
Mm tu Mwakatafuta Atupatipo sipati muda wa kutazama kwa sabb za ku hustle mpk time inakuwa haitoshi kukaa kuangalia tv,je yy mwenye mikampuni?
 
Mkuu,,,naona watu wanavyonishambulia kwa comment yangu...hebu rejea hapo ,,,nimesema nasikia wanasema,,,au nimeandika mimi nasema? kwahyo hata mleta Uzi nae anaponda?yeye amesema watu washangazwa...au na yeye pia anashangaa?jaribu kuelewa kiswahili....msipende kidandia ndege kwa mbele
Akili ya biashara hiyo, wakati we unacheka vigari vyake vinapiga kelele ye anapata faida kubwa kwa kupunguza gharama za uzarishaji.
 
Mimi nimeandika nasikia watu wanasema,,,umeelewa kiswahili vzr?kwahyo hata mleta MADA nae ni mlala hoi?jifunze kubalance mihemko mkuu,,,mtu anaposema nasikia watu wanasema,,, unaelewaje?
Yaani hiki ulichoandika hapa wanyonge/ma jobless tukiona tunafurahi mpk tunalala usingizi mnono kama vile itatusaidia na sisi kutoboa kwny maisha.
 
Back
Top Bottom