TV1 Kurusha Live ligi kuu ya Uingereza(EPL)

TV1 Kurusha Live ligi kuu ya Uingereza(EPL)

Mbona unatudanganya mchana kweupe mkubwa?

Bure kivipi wakati kila mwenye king'amuzi hicho cha Startimes;

Kwanza havigawiwi bure, ni sharti ukanunue

Pili ni lazima ulipe fundi ili akufungie na;

Tatu, lazima ulipie moja ya vifurushi vya king'amuzi hicho!!

Sasa, niambie ubure hapo uko wapi aisee?

Na kwa faida yako tu, kununua haki za kurusha matangazo ya mpira ya moja kwa moja (live) ya ligi mbili kubwa duniani EPL (England) na La Liga (Spain) ni very expensive to the extent that ili upate kuona mechi zote ni sharti uchomoke hasa!!

Ndo kusema kuwa, hapa mnavutwa mtoroke kwa wingi ili jamaa wauze ving'amuzi vyao kwa kwa lengo na idadi wanayotaka huku kweli mkioneshwa kwa siku flani flani mechi za EPL pengine bure kweli na baada ya hapo mnakuwa mmebanwa engo na kulazimika kulipia!!
 
Mkuu TV1 inapatikana pia kwenye king'amuzi cha Azam, je tutaona live kupitia huku pia? Au TV1 ya startimes na TV1 ya Azam ni tofauti?

Ufafanuzi tafadhali.
Ukiniuliza swali hili mimi wa startimes nakuona kama una dharau mkuu. Maana hata menu ya azam sijui iko vipi.

Halafu kumbuka, katika ving'auzi hatari kwa taifa ni azam. Kwa kuwa hawajali uzalendo, wako ki pesa zaidi. Just imagine, wao locals wanazipata zote lkn wao hadi kwenye list ya channel kwenye visimbuzi vingine hawaonekani
 
Watanzania lazima tufike mahali tuwe waelewa mmiliki wa TV 1 nimesikia kuwa ni muingereza sasa huwezi bisha sana kwa hyo tuwe waaminifu
 
Hapaaa pananishtuaa kidogo...vipi azam wanawauzia WATU kuona epl
 
Mbona unatudanganya mchana kweupe mkubwa?

Bure kivipi wakati kila mwenye king'amuzi hicho cha Startimes;

Kwanza havigawiwi bure, ni sharti ukanunue

Pili ni lazima ulipe fundi ili akufungie na;

Tatu, lazima ulipie moja ya vifurushi vya king'amuzi hicho!!

Sasa, niambie ubure hapo uko wapi aisee?

Na kwa faida yako tu, kununua haki za kurusha matangazo ya mpira ya moja kwa moja (live) ya ligi mbili kubwa duniani EPL (England) na La Liga (Spain) ni very expensive to the extent that ili upate kuona mechi zote ni sharti uchomoke hasa!!

Ndo kusema kuwa, hapa mnavutwa mtoroke kwa wingi ili jamaa wauze ving'amuzi vyao kwa kwa lengo na idadi wanayotaka huku kweli mkioneshwa kwa siku flani flani mechi za EPL pengine bure kweli na baada ya hapo mnakuwa mmebanwa engo na kulazimika kulipia!!
Uko sahihi kabisa, ndio yale yale ya GTV
 
Ninachohisi me nikiwa hawa Tv1 watakuwa wanaonyesha match day 1 kila wiki kama ambavyo dstv huwa wanarusha match moja moja katika kifurushi cha bomba kupitia supersport select hivyo hata Tv1 wanaweza kuwa na package hiyo ambayo sio mbaya kwa kuanzia ila kuniambia match zote siamini wakati wao wanastation moja tu,me sikurupukii hivyo vifurushi ntaendelea kustream online mpaka nione hayo mambo ya bure yapo stable,Japo Kuna jambo linaniacha mdomo wazi nimelipia dstv bomba nashangaa wamefungua ss5,ss7 na ss12 sijajua kama ni kwangu au kwa wateja wote na lengo Lao nini kwani hizi channel zilikuwa bouquet ya Compact plus
 
Kuonyesha mpira live tena league kama ya EPL haiwezi kuwa bure abadan, ni mjinga pekee anayeweza kukubali, team za England na Spain zinawalipa wachezaki wake pesa nyingi kwa sababu tu ya haki ya matangazo waipatayo kutoka kwwny tv kama skysport na BT sport, sodhani kama tunaweza kuona bure, labda itakua kama ile ya TBC kipindi kile cha Tido Mhando kuonuesha mechi za Jumatatu tu usiku tena zisozo na mvuto na mashabiki wengi kama vile Hull city na Charlton
 
TV one ni moja ya tv nazozipenda kwa vipindi vyake vizuri.ila sijawahi kujua mmiliki wa hii tv station.
Je mmiliki wa Tv one ni nani?
 
Back
Top Bottom