TV1 Kurusha Live ligi kuu ya Uingereza(EPL)

TV1 Kurusha Live ligi kuu ya Uingereza(EPL)

Mwanangu unalinganisha Gtv iliyokuwa ikicompete na Dstv na hii tv uchwara? Hapa mtaishia kuona mechi live but zip ? Wigan vs Hull kama ile ya Startv
Maana yangu, tulikimbilia kununua dish na visimbusi vya GTV,ambayo nayo haikudumu hata miezi Minne.
 
Unakuta wanaonesha mechi moja tu kwa wiki.
 
Utasikia TV 1 inapatikana kwenye kifurishi cha kil lipia elfu 30 upate uhondo was EPL mechi zenyewe wikiendi hadi wikiendi m mwendo wa bandani tu huko raha mtakuna mashabiki wa timuzeto hapo n matani tu
 
Na sisi ambao tulikuwa sio washabiki wa mpira sasa tutakuwa new followers
 
Mbona unatudanganya mchana kweupe mkubwa?

Bure kivipi wakati kila mwenye king'amuzi hicho cha Startimes;

Kwanza havigawiwi bure, ni sharti ukanunue

Pili ni lazima ulipe fundi ili akufungie na;

Tatu, lazima ulipie moja ya vifurushi vya king'amuzi hicho!!

Sasa, niambie ubure hapo uko wapi aisee?

Na kwa faida yako tu, kununua haki za kurusha matangazo ya mpira ya moja kwa moja (live) ya ligi mbili kubwa duniani EPL (England) na La Liga (Spain) ni very expensive to the extent that ili upate kuona mechi zote ni sharti uchomoke hasa!!

Ndo kusema kuwa, hapa mnavutwa mtoroke kwa wingi ili jamaa wauze ving'amuzi vyao kwa kwa lengo na idadi wanayotaka huku kweli mkioneshwa kwa siku flani flani mechi za EPL pengine bure kweli na baada ya hapo mnakuwa mmebanwa engo na kulazimika kulipia!!
wataonyesha mechi moja TU kwa wiki na ni jumamosi tu
 
Mbona watu mko very negative kwenye suala la TV1 kuonyesha EPL?? Hata kama ni game moja kwa wiki tena isiyo na mvuto ni bora kuliko kutokuonesha kabisa. Hebu tupende vitu vya nyumbani banaaa,hata dstv walianza kidogo kidogo namna hii banaaa!!!
 
Mbona unatudanganya mchana kweupe mkubwa?

Bure kivipi wakati kila mwenye king'amuzi hicho cha Startimes;

Kwanza havigawiwi bure, ni sharti ukanunue

Pili ni lazima ulipe fundi ili akufungie na;

Tatu, lazima ulipie moja ya vifurushi vya king'amuzi hicho!!

Sasa, niambie ubure hapo uko wapi aisee?

Na kwa faida yako tu, kununua haki za kurusha matangazo ya mpira ya moja kwa moja (live) ya ligi mbili kubwa duniani EPL (England) na La Liga (Spain) ni very expensive to the extent that ili upate kuona mechi zote ni sharti uchomoke hasa!!

Ndo kusema kuwa, hapa mnavutwa mtoroke kwa wingi ili jamaa wauze ving'amuzi vyao kwa kwa lengo na idadi wanayotaka huku kweli mkioneshwa kwa siku flani flani mechi za EPL pengine bure kweli na baada ya hapo mnakuwa mmebanwa engo na kulazimika kulipia!!
Very expensive Ni shilingi ngapi, usiongee kitu usichokijua, maana hujui hata bei ya kulipia kuonesha EPL, usiongee chochote Kama huna facts.

Aliposema itakuwa bure (ingawa sina uhakika) Alimaanisha kuwa ligi itaoneshwa bure, hapo amekonsida watu wenue ving'amuzi vya startimes ambapo gharama za king'amuzi zimeshajumlishwa na ndiyo maana ukaambiwa hawaraongeza gharama yoyote kwa ajili ya Tv one.

Issue ya kununua Na kufunga (ingawa siyo vyote vinatumia dish) ving'amuzi vya startimes Ni issue moja, Na kulipia Ni issue nyingine, so usitake kuonekana wajua
 
Kama ni hivyo basi makuburu wameshaa shiba maana najua WANA exclusive coyright subsahara region na pia wanalipa mahela MENGI
Sina uhakika sana lakini nakumbuka kama hii TV1 ina ufadhili kutoka serikali ya Denmark kwahiyo yawezekana wamewapiku DSTV.
 
Watanzania lazima tufike mahali tuwe waelewa mmiliki wa TV 1 nimesikia kuwa ni muingereza sasa huwezi bisha sana kwa hyo tuwe waaminifu
Kwani hao waingereza hawako kibiashara wao?
 
Hofu yangu sijaona neno "wataonyesha live/moja kwa moja" . Na pia wasijekutuwekea TVI katika kili package
 
Sio mfuatiliaji kabisa wa michezo lakini jana hii habari ilinipitia tu kwa bati na nilivyoelewa ni kuwa;
wataonesha mara moja kwa wiki (jumatano)
moja ya wachambuzi ni Dr. Leakey sijui Liki.
 
Kituo cha Televisheni nchini, TV1 kimezindua kampeni yake inayokwenda kwa jina la Toroka Uje ambayo inawaletea watazamaji wake matangazo ya bure ya mechi zote za Ligi Kuu ya Uingereza maarufu kama English Premier League zitakazoanza kutimua vumbi kuanzia Agosti 13 mwaka huu.

Akizungumzia kampeni hiyo Meneja Mkuu wa TV1, Joseph Sayi alisema kuwa Watanzania kwa kipindi kirefu wamekuwa wakitumia pesa nyingi kuangalia ligi hiyo maarufu duniani lakini kupitia TV1 ambayo inapatikana kwenye king’amuzi cha Startimes, Watanzania watakuwa wakitazama mechi hizo bure bila gharama yoyote.

Naye Meneja Masoko wa TV1, Gillian Rugumamu aliongeza kuwa mbali na watazamaji wa TV1 kufurahia mechi hizo ambazo zitarushwa kuanzia mechi ya kwanza hadi ya mwisho wa ligi, pia wamejiandaa kukutana na watazamaji wa TV1 kupitia michezo mbalimbali, matamasha na mashindano yatakayokuwa na zawadi mbalimbali zikiwemo vifurushi vya king’amuzi cha Startimes na nyingine kibao.

Akizungumzia kuhusu kampeni hiyo ya Toroka Uje, Mkuu wa Uzalishaji vipindi wa TV1, Mukhsin Mambo, alisema kuwa kipindi hicho kitakachoanza kuruka tarehe 10 mwezi huu kitakuwa katika siku tatu ambapo kutakuwa na mijadala ya kandanda, mpira laivu na uchambuzi kuhusu mechi zijazo ambapo uchambuzi huo utaongozwa na wachambuzi wakubwa akiwemo Dr Leaky Abdallah na Ally Kashushu.

Aidha Meneja Masoko wa Startimes, Damien Li aliwahakikisha Watanzania kuwa Startimes haitaongeza bei ya vifurushi wala kutoza chochote kwa watazamaji wa Ligi hiyo kupitia TV1 kwa kuwa ni bure kabisa.
 
Attachments

  • 1470295740222.jpg
    1470295740222.jpg
    98.5 KB · Views: 64
Mm kama sijaelewa elewa hapo bure kivipi? Ina maana hata usipolipia kifurushi channel ya TV 1 inaonekana ama? harafu kusema wataonyesha mechi zote ikitokea zikachezwa kwa muda mmoja hapo inakuwaje?
 
Mm kama sijaelewa elewa hapo bure kivipi? Ina maana hata usipolipia kifurushi channel ya TV 1 inaonekana ama? harafu kusema wataonyesha mechi zote ikitokea zikachezwa kwa muda mmoja hapo inakuwaje?
Watarecord afu wataturushia usiku. Kuhusu bure anamaanisha hakuna extra charges!
 
ni ki2 kizuri hasa kwa sisi wapenda soka.. cha msingi kam n bure iwe bure kweli n big match zote tuzione.
 
Back
Top Bottom