Mwanangu unalinganisha Gtv iliyokuwa ikicompete na Dstv na hii tv uchwara? Hapa mtaishia kuona mechi live but zip ? Wigan vs Hull kama ile ya StartvUko sahihi kabisa, ndio yale yale ya GTV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanangu unalinganisha Gtv iliyokuwa ikicompete na Dstv na hii tv uchwara? Hapa mtaishia kuona mechi live but zip ? Wigan vs Hull kama ile ya StartvUko sahihi kabisa, ndio yale yale ya GTV
Maana yangu, tulikimbilia kununua dish na visimbusi vya GTV,ambayo nayo haikudumu hata miezi Minne.Mwanangu unalinganisha Gtv iliyokuwa ikicompete na Dstv na hii tv uchwara? Hapa mtaishia kuona mechi live but zip ? Wigan vs Hull kama ile ya Startv
ITV ya azam na ITV ya startime ni tofautii???Mkuu TV1 inapatikana pia kwenye king'amuzi cha Azam, je tutaona live kupitia huku pia? Au TV1 ya startimes na TV1 ya Azam ni tofauti?
Ufafanuzi tafadhali.
wataonyesha mechi moja TU kwa wiki na ni jumamosi tuMbona unatudanganya mchana kweupe mkubwa?
Bure kivipi wakati kila mwenye king'amuzi hicho cha Startimes;
Kwanza havigawiwi bure, ni sharti ukanunue
Pili ni lazima ulipe fundi ili akufungie na;
Tatu, lazima ulipie moja ya vifurushi vya king'amuzi hicho!!
Sasa, niambie ubure hapo uko wapi aisee?
Na kwa faida yako tu, kununua haki za kurusha matangazo ya mpira ya moja kwa moja (live) ya ligi mbili kubwa duniani EPL (England) na La Liga (Spain) ni very expensive to the extent that ili upate kuona mechi zote ni sharti uchomoke hasa!!
Ndo kusema kuwa, hapa mnavutwa mtoroke kwa wingi ili jamaa wauze ving'amuzi vyao kwa kwa lengo na idadi wanayotaka huku kweli mkioneshwa kwa siku flani flani mechi za EPL pengine bure kweli na baada ya hapo mnakuwa mmebanwa engo na kulazimika kulipia!!
Very expensive Ni shilingi ngapi, usiongee kitu usichokijua, maana hujui hata bei ya kulipia kuonesha EPL, usiongee chochote Kama huna facts.Mbona unatudanganya mchana kweupe mkubwa?
Bure kivipi wakati kila mwenye king'amuzi hicho cha Startimes;
Kwanza havigawiwi bure, ni sharti ukanunue
Pili ni lazima ulipe fundi ili akufungie na;
Tatu, lazima ulipie moja ya vifurushi vya king'amuzi hicho!!
Sasa, niambie ubure hapo uko wapi aisee?
Na kwa faida yako tu, kununua haki za kurusha matangazo ya mpira ya moja kwa moja (live) ya ligi mbili kubwa duniani EPL (England) na La Liga (Spain) ni very expensive to the extent that ili upate kuona mechi zote ni sharti uchomoke hasa!!
Ndo kusema kuwa, hapa mnavutwa mtoroke kwa wingi ili jamaa wauze ving'amuzi vyao kwa kwa lengo na idadi wanayotaka huku kweli mkioneshwa kwa siku flani flani mechi za EPL pengine bure kweli na baada ya hapo mnakuwa mmebanwa engo na kulazimika kulipia!!
Sina uhakika sana lakini nakumbuka kama hii TV1 ina ufadhili kutoka serikali ya Denmark kwahiyo yawezekana wamewapiku DSTV.Kama ni hivyo basi makuburu wameshaa shiba maana najua WANA exclusive coyright subsahara region na pia wanalipa mahela MENGI
Kwani hao waingereza hawako kibiashara wao?Watanzania lazima tufike mahali tuwe waelewa mmiliki wa TV 1 nimesikia kuwa ni muingereza sasa huwezi bisha sana kwa hyo tuwe waaminifu
Watarecord afu wataturushia usiku. Kuhusu bure anamaanisha hakuna extra charges!Mm kama sijaelewa elewa hapo bure kivipi? Ina maana hata usipolipia kifurushi channel ya TV 1 inaonekana ama? harafu kusema wataonyesha mechi zote ikitokea zikachezwa kwa muda mmoja hapo inakuwaje?