Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
nna maswali mengi kuliko majibu,sijui niandae ziara pale tv1?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiniuliza swali hili mimi wa startimes nakuona kama una dharau mkuu. Maana hata menu ya azam sijui iko vipi.Mkuu TV1 inapatikana pia kwenye king'amuzi cha Azam, je tutaona live kupitia huku pia? Au TV1 ya startimes na TV1 ya Azam ni tofauti?
Ufafanuzi tafadhali.
Uko sahihi kabisa, ndio yale yale ya GTVMbona unatudanganya mchana kweupe mkubwa?
Bure kivipi wakati kila mwenye king'amuzi hicho cha Startimes;
Kwanza havigawiwi bure, ni sharti ukanunue
Pili ni lazima ulipe fundi ili akufungie na;
Tatu, lazima ulipie moja ya vifurushi vya king'amuzi hicho!!
Sasa, niambie ubure hapo uko wapi aisee?
Na kwa faida yako tu, kununua haki za kurusha matangazo ya mpira ya moja kwa moja (live) ya ligi mbili kubwa duniani EPL (England) na La Liga (Spain) ni very expensive to the extent that ili upate kuona mechi zote ni sharti uchomoke hasa!!
Ndo kusema kuwa, hapa mnavutwa mtoroke kwa wingi ili jamaa wauze ving'amuzi vyao kwa kwa lengo na idadi wanayotaka huku kweli mkioneshwa kwa siku flani flani mechi za EPL pengine bure kweli na baada ya hapo mnakuwa mmebanwa engo na kulazimika kulipia!!
Ipo kwenye king'amuzi gani?
Lakini kwa free to Air ni machi moja kwa wiki, haitakuwa zaidi.Wanaonesha ligi ya uk mwaka huu, mmiliki cjui