the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,102
- 355
Wapo liveBi Kidude namuona TV1
wanaonyesha mechi ya EVE 1 0 TOT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo liveBi Kidude namuona TV1
Unataka bure? Upate mechi zote bure? Can't believe this...Walianza Azam Tv kutuaminisha wangeonyesha game zote za EURO 2016 lakini tukabaki kuonyeshwa mechi tatu kabla ya kupita hata miezi TV 1 wakatuaminisha na msemo wao Toroke Uje kuwa wataonyesha game zote za EPL na mm nikamini na kuamua kuachana na DSTV na kuchukua kitu cha Star Times leo nikiwa nyumbani nasubiri kwa hamu game ya Hull City na Liecester City ya fungua dimba nikabaki kuonyeshwa muziki..nikaamua kutafuta ratiba zao na kugundua kwa wiki hii wayaonyesha game moja tu ya Everton na Spurs nikasema huu usengerema...