TV1 Kurusha Live ligi kuu ya Uingereza(EPL)

Walianza Azam Tv kutuaminisha wangeonyesha game zote za EURO 2016 lakini tukabaki kuonyeshwa mechi tatu kabla ya kupita hata miezi TV 1 wakatuaminisha na msemo wao Toroke Uje kuwa wataonyesha game zote za EPL na mm nikamini na kuamua kuachana na DSTV na kuchukua kitu cha Star Times leo nikiwa nyumbani nasubiri kwa hamu game ya Hull City na Liecester City ya fungua dimba nikabaki kuonyeshwa muziki..nikaamua kutafuta ratiba zao na kugundua kwa wiki hii wayaonyesha game moja tu ya Everton na Spurs nikasema huu usengerema...
 
Ni mechi moja kwa wiki mtangazaji wao ame confirm. Vibanda umiza bado vinatuhusu.
 
Acheni majungu nyinyi viazi kama mnaona rahisi si muoneshe nyinyi hata hiyo mechi 1,,,,,aaaaaaaaarrrrrggggghhhh mibongo cjui ipojeeeeeeeee mxiiiuuuuuu
 
Walianza Azam Tv kutuaminisha wangeonyesha game zote za EURO 2016 lakini tukabaki kuonyeshwa mechi tatu kabla ya kupita hata miezi TV 1 wakatuaminisha na msemo wao Toroke Uje kuwa wataonyesha game zote za EPL na mm nikamini na kuamua kuachana na DSTV na kuchukua kitu cha Star Times leo nikiwa nyumbani nasubiri kwa hamu game ya Hull City na Liecester City ya fungua dimba nikabaki kuonyeshwa muziki..nikaamua kutafuta ratiba zao na kugundua kwa wiki hii wayaonyesha game moja tu ya Everton na Spurs nikasema huu usengerema...
Unataka bure? Upate mechi zote bure? Can't believe this...
 
Nimeangalia leo everton vs tottenham....kwa kweli DSTV itabaki kuwa DSTV hamna mbadala.
 
Back
Top Bottom