Twaha Kiduku aondoka na gari baada ya kumtwanga Dullah Mbabe

Twaha Kiduku aondoka na gari baada ya kumtwanga Dullah Mbabe

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Leo kama kawa nitakuwa nawaletea updates za pambano hili ambalo kimsingi mmoja ataondoka na gari. Aidha kutakuwa na mapambano kadhaa ya utangulizi.

===
TWAHA KIDUKU AMTWANGA DULLAH MBABE, AJINYAKULIA GARI

Bondia Twaha Lubaha maarufu Twaha Kiduku amejinyakulia gari baada ya kumtwanga Abdallah Pazi maarufu Dullah Mbabe. Lilikuwa pambano la round 10 na Twaha ameshinda kwa pointi

Pambano ni la marudio baada ya Dullah kuona alipigwa kwa bahati mbaya Morogoro


1629478581742.png
 
Nasimama na Dulah mbabe mtoto wa mwananyamala,hii ngoma Dulah anamaliza mapema sana.
 
Sasa sijui niwe upande gani!!!

Ni kama England..nilishashindwa kuwa na timu kule.

Hispania -Barca
Africa..Kameruni
Worl cup Brazil

England--??
Ujeruman..??
Ufaransa .. (Messi)[emoji3]
Man down!
 
Back
Top Bottom