Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Afande Sele kamshinda nani?Watu wa Moro hatushindwagi tukiwa Dar hata siku moja
Cheka
Afande Sele
Twaha Kiduku
Mfalme wa rhymes unakumbuka au ulikua mdogo sana mkuu?Hahaha Afande Sele kamshinda nani?
Mfalme wa rhimes 2002 akaondoka gariHahaha Afande Sele kamshinda nani?
Mi mwenyewe nimeshindwa kuelewa kama wewe,ngoja wataalam waje kutudadavulia,dulah kapigwa round zote ukiacha round ya kwanza aliyomuotea kiduku na akashindwa kumaliza mpambano kwa ugoigoi wakeMi sijaelewa hizo pointi zinahesabiwaje! Kiduku kuanzia raundi ya pili, kamtandika sana mpinzani wake. Nilitegemea pointi za Dula, zingekuwa nusu ya za Kiduku. Lakini mwishoe, imekuwa 98 kwa 91.
Hata hivyo, Dula, angekaza mwendo, alikuwa amalize mchezo raundi ya kwanza tu!
Pale mwanzo kiduku anasema alikuwa kapigwa tunguri za hatari na dula na anasema ilikuwa kama anaotaMi sijaelewa hizo pointi zinahesabiwaje! Kiduku kuanzia raundi ya pili, kamtandika sana mpinzani wake. Nilitegemea pointi za Dula, zingekuwa nusu ya za Kiduku. Lakini mwishoe, imekuwa 98 kwa 91.
Hata hivyo, Dula, angekaza mwendo, alikuwa amalize mchezo raundi ya kwanza tu!
Mpaka poda Ni Nani hapo mkuuSio kweli,Kiduku anapaka sana poda ngoja uone Dullah atakavyo mpiga Kiduku kwa"ko"
mweupe saaanaaaNasimama na Dulah mbabe mtoto wa mwananyamala,hii ngoma Dulah anamaliza mapema sana.
Dulla mbabe mdomo ndio mwingi lkn hakuna alichofanya mbele ya Twaha Kiduku kapigwa round zote 9 tukiacha ile ya kwanza ambayo Twaha alianguka.Pambano limekwisha kwa ushindi wa pointi
Dulla achezea kichapo cha nguvu kutika kwa Twaha Kiduku
Kiduku ameondoka na gari ( Crown) kurudi Morogoro
Mpambano umemalizika saa 7: 12 usiku huu
Pambano limekwisha kwa ushindi wa pointi
Dulla achezea kichapo cha nguvu kutika kwa Twaha Kiduku
Kiduku ameondoka na gari ( Crown) kurudi Morogoro
Mpambano umemalizika saa 7: 12 usiku huu
[/QU
Raund ya kwanza twaha sijui alijisahau vipi alipewa ngumi ya maana akaenda chini
Dullah kaniangusha,"namna gani Dullah!,"Mpaka poda Ni Nani hapo mkuu
Kwenye round kunakuwa na mshindi wa round .Mi sijaelewa hizo pointi zinahesabiwaje! Kiduku kuanzia raundi ya pili, kamtandika sana mpinzani wake. Nilitegemea pointi za Dula, zingekuwa nusu ya za Kiduku. Lakini mwishoe, imekuwa 98 kwa 91.
Hata hivyo, Dula, angekaza mwendo, alikuwa amalize mchezo raundi ya kwanza tu!