Twaha Kiduku aondoka na gari baada ya kumtwanga Dullah Mbabe

Mi sijaelewa hizo pointi zinahesabiwaje! Kiduku kuanzia raundi ya pili, kamtandika sana mpinzani wake. Nilitegemea pointi za Dula, zingekuwa nusu ya za Kiduku. Lakini mwishoe, imekuwa 98 kwa 91.
Hata hivyo, Dula, angekaza mwendo, alikuwa amalize mchezo raundi ya kwanza tu!
 
Mi mwenyewe nimeshindwa kuelewa kama wewe,ngoja wataalam waje kutudadavulia,dulah kapigwa round zote ukiacha round ya kwanza aliyomuotea kiduku na akashindwa kumaliza mpambano kwa ugoigoi wake
 
Mi sijaelewa hizo pointi zinahesabiwaje! Kiduku kuanzia raundi ya pili, kamtandika sana mpinzani wake. Nilitegemea pointi za Dula, zingekuwa nusu ya za Kiduku. Lakini mwishoe, imekuwa 98 kwa 91.
Hata hivyo, Dula, angekaza mwendo, alikuwa amalize mchezo raundi ya kwanza tu!
Pale mwanzo kiduku anasema alikuwa kapigwa tunguri za hatari na dula na anasema ilikuwa kama anaota
 
Pambano limekwisha kwa ushindi wa pointi

Dulla achezea kichapo cha nguvu kutika kwa Twaha Kiduku

Kiduku ameondoka na gari ( Crown) kurudi Morogoro

Mpambano umemalizika saa 7: 12 usiku huu
Dulla mbabe mdomo ndio mwingi lkn hakuna alichofanya mbele ya Twaha Kiduku kapigwa round zote 9 tukiacha ile ya kwanza ambayo Twaha alianguka.
 
Pambano limekwisha kwa ushindi wa pointi

Dulla achezea kichapo cha nguvu kutika kwa Twaha Kiduku

Kiduku ameondoka na gari ( Crown) kurudi Morogoro

Mpambano umemalizika saa 7: 12 usiku huu
[/QU
Raund ya kwanza twaha sijui alijisahau vipi alipewa ngumi ya maana akaenda chini
 
Ngumi za maana alzopiga dulla ni mbili tu na moja ile ya kichawi kutoka Tanga hamna nyingine, alikua na nafasi kubwa ya kumaliza battle mapema raundi ileile ya Kwanza kwa ile sondo yake ya 'kikanjanja' ila akazubaa sasa kilichofuata kwake ni kipigo Cha paka mwizi...dulla kashindwa hata kujitafakari hata Kama ndo umeishiwa ila siyo kufanya kila mtu awe kocha wako Tena kwa wakati mmoja,inasikitisha sana kwa kweli...
 
Mi sijaelewa hizo pointi zinahesabiwaje! Kiduku kuanzia raundi ya pili, kamtandika sana mpinzani wake. Nilitegemea pointi za Dula, zingekuwa nusu ya za Kiduku. Lakini mwishoe, imekuwa 98 kwa 91.
Hata hivyo, Dula, angekaza mwendo, alikuwa amalize mchezo raundi ya kwanza tu!
Kwenye round kunakuwa na mshindi wa round .
Ukishinda unapewa point 10
Ukishindwa unapewa 9.

Hivyo Hivyo mpaka round ziishe. Kisha unajumlisha

Kila jaji ataamua round hii nani mshindi ale 10 nani kapigwa ale 9

Mwisho wa pambano kila jaji anasema jumla ya kila bondia. Wako majaji 3.

Mf jaji namba moja 96 kwa 92.
Jaji namba 2. 99 kwa 91
Jaji namba 3 97 kwa 93.

Maana bondia namba 1 anakuwa aneshinda kwa 3 bila. Hiyo inaitwa win by unanimous decision
 
Back
Top Bottom