CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
NOTED mkuu na Shukrani kwa ufafanuzi makini na wenye busara za hali ya juu. Ahsante sana.Kabla ya pambano mabondia wanaingia mkataba na mdhamini na wanakubaliana malipo kabisa na wakati mwingine wanalipwa kabisa.
Lile gari lilikuwa ni zawadi ya ziada tu. Alitokea mdau mwingine akaongeza zawadi ili kuwahamasisha mabondia wajifue zaidi kupendezesha pambano.
Malipo ya mabondia yanategemea uhodari wa bondia.
Katika pambano la Dulla na Kiduku, Kiduku amelipwa zaidi kwakuwa ndiye mshindi wa pambano lililopita.