Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
SITA USIKU...Utangulizi yanaanza saa 1.Pambano saa ngp
Online TV zinaonyesha?SITA USIKU...Utangulizi yanaanza saa 1.
Azam nadhani,sina hakika lakini.Online TV zinaonyesha?
Kuna app natumia, nakula bata tuOnline TV zinaonyesha?
App gani? YouTube haioneshwi?Kuna app natumia, nakula bata tu
Man down!Sasa sijui niwe upande gani!!!
Ni kama England..nilishashindwa kuwa na timu kule.
Hispania -Barca
Africa..Kameruni
Worl cup Brazil
England--??
Ujeruman..??
Ufaransa .. (Messi)[emoji3]
Atapigwa vizuri sanaNasimama na Dulah mbabe mtoto wa mwananyamala,hii ngoma Dulah anamaliza mapema sana.