Bob renho
Senior Member
- Sep 22, 2015
- 165
- 488
Lakini Hadi hapa Tanzania tunaongoza 5-2Misri ni entertainer....!
Anapokea Lkn Bado ana Mbwembwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini Hadi hapa Tanzania tunaongoza 5-2Misri ni entertainer....!
Anapokea Lkn Bado ana Mbwembwe
Mkuu unaangalia pambano?Kuna balaa Kiduku anapondwa hatari.
Muarabu huyu Ni mgumu balaa maana angekuwa mwingine saizi angekuwa ashakubali K.OUpepo umebadilika
Kabisa naona anakimbia kimbia tuHakutakiwa Ajiite Monster Bali Intertainer
Ndiyo sema huyu mwarabu Naye miyeyusho tu.Mkuu unaangalia pambano?
Hili Pambano bila Shaka anapoteza Lkn huyu mmisri atakuja Kuwa Bondia Mkubwa..!Ndiyo sema huyu mwarabu Naye miyeyusho tu.
Nimemuona mandonga mtu kazi 😂 🤣Ndo anaingia now, umelala?
Kwani kapendelewa? Mbona kiduku kacheza fresh na anastahili huu ubingwa.As it expected...mcheza kwao hutunzwa