Twaha Mwaipaya aeleza mazito kuhusu mauaji ya Oktobea 29. Asema hakuna umwagaji damu utakaowazuia kudai haki

Twaha Mwaipaya aeleza mazito kuhusu mauaji ya Oktobea 29. Asema hakuna umwagaji damu utakaowazuia kudai haki

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,047
Reaction score
63,206
Ni interview nzuri sana. Unaweza kuitazama hapa:

Oktoba 29, 2025 ilikuwa ni siku kubwa sana ya kihostoria katika nchi yetu ya Tanzania, ambapo ilikuwa ni siku ya maandamano ya kupinga kupwoka haki na vijana walikuwa na hasira sana.

Na haya yote ni matokea yalitokea katika kukosa haki katika uchaguzi ambapo miaka yote serikali ilikuwa inaiba matokeo ya upinzani tangu mwaka 1995, 2000, 2015, 2019 hadi 2025


View: https://www.youtube.com/watch?v=1UE_TYN9j8A
 
Back
Top Bottom