Pre GE2025 Twaha Mwaipaya akata rufaa Baraza Kuu kupinga kuenguliwa kugombea Ujumbe wa Kamati Kuu

Pre GE2025 Twaha Mwaipaya akata rufaa Baraza Kuu kupinga kuenguliwa kugombea Ujumbe wa Kamati Kuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anayechuja Wajumbe siyo Mbowe, Jaribu kumsingizia jambo lingine, hili hapana.
Punguza uchawa broo,
Kwani Sa100 akitaka mpinzani fulani akamatwe na kubambikiziwa kesi ya uongo anaenda kumkamata yeye mwenyewe?

Hayo ni maelekezo ya Mbowe, ambaye pia inawezekana kapokea maelekezo kutoka kwa anaowatumikia kwa sasa, yaani ccm kupitia Abdul & Co.
 
Sidhani kama ni kweli. Za ndani nilizozisikia ni kuwa ile kamati inayoundwa na wenyeviti wa kanda, walikuwa wanataka Lisu akatwe, lakini wakahofia watu.

Hiyo ya kutaka kumwengua Mbowe, siyo kweli.
Kuenguliwa hakupangwi, unaenguliwa baada ya kusailiwa, lazima muheshimu viongozi wengine, kwamba Mnyika hana uwezo wa kutafakari hadi atumwe na Mbowe! Acheni dharau
 
Nidhamu katika chama ni jambo muhimu sana.
Demokrasia ndani ya chama ni lazima iendane na Nidhamu.

Huwezi kuanza kuzodoa viongozi wa juu wa chama afu chama kikakuacha.
 
Back
Top Bottom