Pre GE2025 Twaha Mwaipaya akata rufaa Baraza Kuu kupinga kuenguliwa kugombea Ujumbe wa Kamati Kuu

Pre GE2025 Twaha Mwaipaya akata rufaa Baraza Kuu kupinga kuenguliwa kugombea Ujumbe wa Kamati Kuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nidhamu katika chama ni jambo muhimu sana.
Demokrasia lndani ya chama ni lazima iendane na Nidhamu.

Huwei kuanza kuzidoa viongozi wa juu wa chama afu chama kikakuacha.
Mbona Yeriko Nyerere kamzodoa sana Lisu na hajachukuliwa hatua yoyote

Usabato umemponza Twaha 😂😂
 
Chadema ya FAM inaonesha wao ni watu wa namna gani, frankly wanaukosea sana uponzani wa nchi hii!
 
Unaona Mbowe na genge lake wanachofanya, sasa hapo unasubiri nini? Mtu anakupaka mafuta ya kalio unasema ngoja nisubiri kama anataka kunipiga mashine?
Mkuu ni wapi Mbowe amekuwa mjumbe wa Kamati ya Usaili?
 
Kila kitu hapo kina baraka zake na ndio mipango yake hiyo.

Kwani, anayeteka na kuua ni Rais wa nchi? Lakini kwanini lawama zote tunampa yeye?
Vipi kuhusu kuvuliwa uenyekiti wa Mkoa kwa yule BWANA anaitwa Ntobi ambaye tunaambiwa ni Mpambe Mkuu wa Mbowe. Yeye hapakuwa na maelekezo ya Mwenyekiti Mbowe? Ilikuwaje akachukuliwa hatua ilihali ndio Mpambanaji wake?
 
Mbowe analeta mambo ya CCM huko CDM, yale mapendano yao kumbe anajifunza mengi pia.

Hadi sasa ni wazi Lissu atapokwa ushindi.
Kuna huu msemo "Nionyeshe rafiki yako, nikwambie TABIA yako". Rafiki anao uwezo mkubwa wa kumbadilisha rafiki. Kama mwamba ni rafiki wa sa100 daaah!
 
Vipi kuhusu kuvuliwa uenyekiti wa Mkoa kwa yule BWANA anaitwa Ntobi ambaye tunaambiwa ni Mpambe Mkuu wa Mbowe. Yeye hapakuwa na maelekezo ya Mwenyekiti Mbowe? Ilikuwaje akachukuliwa hatua ilihali ndio Mpambamanaji wake?
Ile ni janja ya nyani.
Mbowe alitaka tu kutengeneza precedence ili baadaye aitumie kama hivi
 
Timu lia lia msituchoshe - jina limelabwa na Kamati Kuu ambayo Mbowe wala hakushiriki sababu ni mgombea.
 
Ni wewe

Unajulikana since then.

Na hapa kwa mtu mwenye akili akisoma between lines, anakutambua ni wewe.

Yaani na wewe umekatwaa, kweli siasa mchezo mchafu.
Itashangaza sana. Kwamba Twaha Mwaipaya amekuwa akijiwasilisha kwa jinsia ya kike miaka yote hii hapa JF?
 
Ni wewe

Unajulikana since then.

Na hapa kwa mtu mwenye akili akisoma between lines, anakutambua ni wewe.

Yaani na wewe umekatwaa, kweli siasa mchezo mchafu.
Erythrocytes ni mwanamke elewa hili kwanza..ila ni team Mbowe 💯
 
Back
Top Bottom