Man filandu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2023
- 412
- 402
Nidhamu ya kazi ni msingi wa mafanikio bora kazini ,viongozi na wafanyakazi lazima wote TUWE NA nidhamu ,migogoro na migongano makazini ni ukosefu wa NIDHAMU.
View: https://www.youtube.com/watch?v=4JpYv9zx0KA
Bosi kumwambia ukweli sio dhambi, alafu hiyo ni taasisi ya kisiasa umuhimu wake ni mkubwa kuliko hata hizo taasisi unazozijua wewe au kambini kwenu.
Hiyo ni Taasisi ambayo inategemea kuchukua Dola na kuzi-control taasisi zote za Serikali ikiwemo kudhibiti rushwa na ustawi wa Taifa kwa hiyo ni lazima kuwe na watu makini na waliobeba maono ambao watakuwa teyari kukosolewa pindi wanapokosea.
