johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbona Yeriko Nyerere kamzodoa sana Lisu na hajachukuliwa hatua yoyoteNidhamu katika chama ni jambo muhimu sana.
Demokrasia lndani ya chama ni lazima iendane na Nidhamu.
Huwei kuanza kuzidoa viongozi wa juu wa chama afu chama kikakuacha.
Hatari ya kiwango cha shetani.Mbowe ni mtu hatari sana
Unaona Mbowe na genge lake wanachofanya, sasa hapo unasubiri nini? Mtu anakupaka mafuta ya kalio unasema ngoja nisubiri kama anataka kunipiga mashine?Ngoja tusubiri, lakini mi nadhani ni vema akarejeshwa ili apigiwe kura
Mkuu ni wapi Mbowe amekuwa mjumbe wa Kamati ya Usaili?Unaona Mbowe na genge lake wanachofanya, sasa hapo unasubiri nini? Mtu anakupaka mafuta ya kalio unasema ngoja nisubiri kama anataka kunipiga mashine?
Mkuu hakuna siri,hivi vitu vinafanywa na watu. Mnafanya(sijui kama na wewe umo) mambo ya kijinga sana zaidi hata ya upuuzi wa CCM kuengua wagombea.Mkuu ni wapi Mbowe amekuwa mjumbe wa Kamati ya Usaili?
Vipi kuhusu kuvuliwa uenyekiti wa Mkoa kwa yule BWANA anaitwa Ntobi ambaye tunaambiwa ni Mpambe Mkuu wa Mbowe. Yeye hapakuwa na maelekezo ya Mwenyekiti Mbowe? Ilikuwaje akachukuliwa hatua ilihali ndio Mpambanaji wake?Kila kitu hapo kina baraka zake na ndio mipango yake hiyo.
Kwani, anayeteka na kuua ni Rais wa nchi? Lakini kwanini lawama zote tunampa yeye?
Wewe ni Twaha dogoMimi siyo Twaha, umedanganya kijinga sana!
Mambo yote yanayofanyika kinyume na kanuni za chama yana baraka za Mbowe kwa sababu zilizo wazi kabisa,yahitaji mtu kujitoa ufahamu kumtetea Mbowe katika mambo haya.Anayechuja Wajumbe siyo Mbowe, Jaribu kumsingizia jambo lingine, hili hapana.
Na Lisu je ilikuwajeHivi hamuelewi maana ya Usaili, kapigwa maswali magumu hadi akadhani sekretarieti ile siyo ya Chadema! Katolewa nje mara 2 ili ajadiliwe
Huyu ni mhuni.Ujumbe wake huu hapa
View attachment 3207373
Binafsi Naunga Mkono jambo hili na Namtakia kila la heri
Kuna huu msemo "Nionyeshe rafiki yako, nikwambie TABIA yako". Rafiki anao uwezo mkubwa wa kumbadilisha rafiki. Kama mwamba ni rafiki wa sa100 daaah!Mbowe analeta mambo ya CCM huko CDM, yale mapendano yao kumbe anajifunza mengi pia.
Hadi sasa ni wazi Lissu atapokwa ushindi.
Ile ni janja ya nyani.Vipi kuhusu kuvuliwa uenyekiti wa Mkoa kwa yule BWANA anaitwa Ntobi ambaye tunaambiwa ni Mpambe Mkuu wa Mbowe. Yeye hapakuwa na maelekezo ya Mwenyekiti Mbowe? Ilikuwaje akachukuliwa hatua ilihali ndio Mpambamanaji wake?
Ni weweMimi siyo Twaha, umedanganya kijinga sana!
Itashangaza sana. Kwamba Twaha Mwaipaya amekuwa akijiwasilisha kwa jinsia ya kike miaka yote hii hapa JF?Ni wewe
Unajulikana since then.
Na hapa kwa mtu mwenye akili akisoma between lines, anakutambua ni wewe.
Yaani na wewe umekatwaa, kweli siasa mchezo mchafu.
Ila Mnyika amekua disappointment sanaUjumbe wake huu hapa
View attachment 3207373
Binafsi Naunga Mkono jambo hili na Namtakia kila la heri
CDM ni nguvu ya Umma,mwaka huu mmeikataa nguvu ya umma mjue mtapata tabu sana kusikilizwa.Ujumbe wake huu hapa
View attachment 3207373
Binafsi Naunga Mkono jambo hili na Namtakia kila la heri
Erythrocytes ni mwanamke elewa hili kwanza..ila ni team Mbowe π―Ni wewe
Unajulikana since then.
Na hapa kwa mtu mwenye akili akisoma between lines, anakutambua ni wewe.
Yaani na wewe umekatwaa, kweli siasa mchezo mchafu.