instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Sijakuelewa!Haya matukio ni Moja ya Siasa za hovyo kuwahi kutokea, utaanzaje kutangaza mtu katekwa wakati huna uhakika, wakati huna taarifa za kutosha au bila kureport Polisi ili uchunguzi ufanyike .....acheni kukurupuka na habari zenu za kubumba.
Dogo,Twaha Mwaipaya alipost kuwa Vivian katekwa Arusha kumbe ni uongo, sasa nyoeni hayo mandevu naona yamesha anza kuwaharibu ubongo
Si lazima uelewe mengine achia waelewe wengineSijakuelewa!
Mimi nimeajiliwa na ChademaKwani huyu kmmke kaandika nini hiki mbona CCM inaajiri machawa vichaa kiasi hiki Yani Bora hata wabaki na Lucas Mwashambwa hata porojo zake zinasomeka na buku 7 anaipata kwa jasho sana na sio hizi KUKU sijui hata Zina kiwango gani cha elimu
Jitahidi kula mitaa mkuu nafikiri Kuna siku utamuona na yule bonge wa boifrendi wa Mama kizimkazi Chivayo maana anatafutwa sana na mama usisahau kumpigia kafotoMajuzi nikiwa pahala nimetulia zangu kimya,akatokea kijana ambaye alikuwa amefuga ndevu nyingi yaani masharafa,jamaa alikuwa copyright na ben saanane,nilipokuwa namuangalia sana akawa ananikazia macho kwa umakini mkubwa sana,nikashindwa hata kumpiga picha kijanja/ bado naendelea kumlia rada kimya kimya mpaka nimfotoe picha,ispokuwa huyu jamaa alikuwa kama anajishughulisha na kazi za fanicha hizi nzuri nzuri,sasa nikawa najiuliza ni yeye au tu ni amefanana naye?,na kwanini wakati namtizama sana alikuwa ananikazia macho sana?,let assume duniani wawili wawili..
Uongo upo wapi sasaDogo,
Tuliza huo mshono basi. Kila muda unaanzisha uzi wa uongo dhidi ya Umma wa wananchi
Chadema haiajili mashoga wakupigwa miti na Abduli kwanza Leo ni zamu yako kumlamba dushe Abdul fala weweMimi nimeajiliwa na Chadema
Sasa mbona upinde ni rangi ya chademaChadema haiajili mashoga wakupigwa miti na Abduli kwanza Leo ni zamu yako kumlamba dushe Abdul fala wewe
Itakua alikuwa amekuvutia na ulipendezwa na ndevu zake...Majuzi nikiwa pahala nimetulia zangu kimya,akatokea kijana ambaye alikuwa amefuga ndevu nyingi yaani masharafa,jamaa alikuwa copyright na ben saanane,nilipokuwa namuangalia sana akawa ananikazia macho kwa umakini mkubwa sana,nikashindwa hata kumpiga picha kijanja/ bado naendelea kumlia rada kimya kimya mpaka nimfotoe picha,ispokuwa huyu jamaa alikuwa kama anajishughulisha na kazi za fanicha hizi nzuri nzuri,sasa nikawa najiuliza ni yeye au tu ni amefanana naye?,na kwanini wakati namtizama sana alikuwa ananikazia macho sana?,let assume duniani wawili wawili..
huyo jamaa ni wakupuuzwa tu comrade.Haya matukio ni Moja ya Siasa za hovyo kuwahi kutokea, utaanzaje kutangaza mtu katekwa wakati huna uhakika, wakati huna taarifa za kutosha au bila kureport Polisi ili uchunguzi ufanyike .....acheni kukurupuka na habari zenu za kubumba.
Ttuongelee kuhusu Soka na Mdude. Wametekwa wewe unasemaje?, utaanzaje kutangaza mtu katekwa wakati huna uhakika
Mbona unaleta Topic tofauti? Uzi unajielezaTtuongelee kuhusu Soka na Mdude. Wametekwa wewe unasemaje?