Hii inaendelea kuongeza taharuki, kwann watu wasitoke nje kwa vitendo kama hiviWakuu,
Hizi ni taarifa ambazo zimepostiwa na kada wa CHADEMA Twaha Mwaipaya
Huyu alikuwa ni mgombea Ubunge
View attachment 3497616
WameshawatumiaHatari sana hata vyama rafiki? Au Shetani hana rafiki?
Mim naona polis kuna jambo wanalitaka litokee zaidi ya hayo yaliyotokeaHii inaendelea kuongeza taharuki, kwann watu wasitoke nje kwa vitendo kama hivi
Zitto Kabwe amesha compromise na Samuya.Hatari sana hata vyama rafiki? Au Shetani hana rafiki?
After all this lifumuliwe, so unprofessional, disorganized, hive like mindMim naona polis kuna jambo wanalitaka litokee zaidi ya hayo yaliyotokea
Huku kanda ya ziwa wameenda baadhi ya hospital na kuwatoa majeruh wa lisasi eti wanataka wawafungulie kesi za ugaidi
Yaan mtu umemtwanga risasi kwake na unataka tena umfunge
Shetani hana rafiki.Hatari sana hata vyama rafiki? Au Shetani hana rafiki?