GE2025 Twaha Mwaipaya: Dafroza Jacob wa ACT Wazalendo amefia kituo cha Polisi

GE2025 Twaha Mwaipaya: Dafroza Jacob wa ACT Wazalendo amefia kituo cha Polisi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tupo katika udikteta
Ukombozi unahitajika kwa njia na Kwa namna yoyote
 
Tulipofikia sisi na ccm haina tofauti na ndoa iliyofika mwisho mnaishi nyumba moja ila hakun anaymjali mwenzie.She doesnt care about Tanzanians na Gen Z hawajali tunapoelekea ni kubaya pamoj na hasira Gen Z walizonazo wanaongezea na hasira za vifo vya maandamano ccm fanyeni mabadiliko hali itakuwa mbaya zaidi ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom