GE2025 Twaha Mwaipaya: Dafroza Jacob wa ACT Wazalendo amefia kituo cha Polisi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii inaendelea kuongeza taharuki, kwann watu wasitoke nje kwa vitendo kama hivi
Mim naona polis kuna jambo wanalitaka litokee zaidi ya hayo yaliyotokea

Huku kanda ya ziwa wameenda baadhi ya hospital na kuwatoa majeruh wa lisasi eti wanataka wawafungulie kesi za ugaidi

Yaan mtu umemtwanga risasi kwake na unataka tena umfunge
 
After all this lifumuliwe, so unprofessional, disorganized, hive like mind

Hamna taasis hapo, ndio maana kesi nyingi wanapigwa chini.

Wanatafuta kujisafisha mbele ya international eyes, wamejaribu kuwabebesha wakenya, cdm ngoma imekuwa ngumu, wanatafita walio wajeruhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…