Twaha Mwaipaya wa CHADEMA hajapewa dhamana na haijulikani yuko kituo gani. Je, hizi ni hujuma kwa maridhiano?

Twaha Mwaipaya wa CHADEMA hajapewa dhamana na haijulikani yuko kituo gani. Je, hizi ni hujuma kwa maridhiano?

Hata kama mtu kavunja sheria basi aachiwe tu

.kama amevunja sheria ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.

..so far tunaona Polisi wamevunja sheria ktk hatua za kumkamata, kumshikilia, na kumpekua.
 
Ndio mnapofeli kaka. Endeleeni kuamini hivyo, sisi tutawakumbusha.

..hebu funguka zaidi.

..wasomaji wengi zaidi watafaidika ukiwa muwazi ktk mchango wako.

..Je, unadhani wanachofanyiwa Cdm na wapinzani ni haki?

..Je, hauguswi na kilio cha vijana wa Cdm kwamba vyombo vya dola na watawala vinawatendea kama raia wa daraja la chini?

..Nini kifanyike ili kuwe na haki sawa kwa vyama vyote?
 
Sikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa CHADEMA.

Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Rais amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tanzania

Atakuwa analamba asali serikali hii imejaa watu wapole sana
 
..amekufa lakini bado kuna masalia ya watendaji wake wanamhujumu Rais Ssh.

..Rais afurumushe masalia wote wasiotaka kwenda na spirit mpya ya haki na maridhiano.

Erythrocyte
Itapendeza ukichaguliwa wewe ili iwe sirikali ya makondoo
 
Mbegu ya chuki ishapandwa na mwendazake, itatusumbua mno kama Taifa.

Kama mtu ana kosa kwa nini zisifuatwe hatua stahiki juu yake, sheria si tunazo.

Mambo ya kutekana ni ya kishamba saana.
 
Awamu ya 6 imejaribu kuachana na kuwatia kizuizini raia kwa tuhuma za kisiasa lakini bado kuna wale wa awamu ya 5 bado hawajaelewa kuwa aina hii ya kukamata inahesabika kuwa ni mahabusu au wafungwa wenye tuhuma za kisiasa ambayo inavhafua taswira mpya wenye CCM wanayotaka kuijenga toka taswira ya wale wageni ndani ya CCM walioingia awamu ya tano

Toka maktaba :

 
Kama serikali ya CCM ina uwezo wa kugawa ILANI yake kwa watendaji wote, basi kuna umuhimu wa serikali kugawa kijitabu cha mikataba 252 iliyosaini kimataifa huko Geneva Switzerland kuhusu HAKI ili kijitabu hicho kiwepo ktk ofisi na madawati wa watendaji wote wa serikali wawe wasikisoma na kujikumbusha kila siku kuhusu ...kujadili mustakhabali wa nchi yao, haki ya jumuika, haki ya kuzungumza, wananchi kuwa na haki ya kuwaambia watawala nini wakifanye, uhuru wa habari, kufunguliwa vya vyombo vya online pia magazeti, imeridhia mikutano ya vyama vya siasa kufanyika...

KUNA HAJA VYOMBO HUSIKA KU-SHARE MAAZIMIO YA SERIKALI ILIYO CHINI YA MH. SAMIA S. HASSAN

Maana ikiwa idara, wizara zinakwenda kimataifa kuuambia ulimwengu kuwa sasa kuna utawala / administration mpya unaojali haki zote zilizomo ktk katiba lakini inatokea idara fulani inakwenda kinyume, hii inaashiria waliopo serikalini hawaimbi wimbo moja wa haki uliopo ktk ukurasa fulani, beti husika na mstari fulani unaoimbwa na Mh. Samia Suluhu Hassan.

Serikali na vyombo vyake ikiwemo taasisi, idara zake zifahamu kuwa mwaka huu huko Uswisi waziri wa Sheria na Katiba Mh. George Simbachawene mbele ya Umoja wa Mataifa katika Kamisheni ya Umoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Binadamu kuwa Tanzania iliridhia kuacha kuandamiza na kubinya haki za msingi.

Haki hizo za msingi nyingi ikiwemo hili la wananchi kuwa na haki kujadili, kushauri na kuelekeza nchi yao iende vipi.

23 March 2022
Geneva, Switzerland

Mikataba 252 ambayo Tanzania iliridhia na inayogusa haki zote ikiwemo UWAZI ni kama ifuatayo



Video : Mh. George Simbachawene akihutubia UMoja wa Mataifa kuhusu haki haki na kuuhakikishia ulimwengu kuwa haki zote ktk awamu ya 6 zinazingatiwa



Tanzania yaridhia haki ya wananchi kushirikishwa katika ngazi zote, kujadili mustakhabali wa nchi yao, haki ya jumuika, haki ya kuzungumza, wananchi kuwa na haki ya kuwaambia watawala nini wakifanye, uhuru wa habari, kufunguliwa vya vyombo vya online pia magazeti, imeridhia mikutano ya vyama vya siasa kufanyika, , ....

GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania was a strong proponent of the Universal Periodic Review mechanism which brought together State actors, civil society and development partners. As the Government pursued the goal of realisation of human rights for all Tanzanians, the recommendations were given the highest consideration. All 252 recommendations were disseminated to State and non-State actors, including the National Human Rights Institution as well as civil society, in both mainland Tanzania and Zanzibar. As a result of broad-based consultations, Tanzania had accepted to implement 167 recommendations, which were in compliance with the Constitution of the United Republic of Tanzania and the Constitution of Zanzibar.

The recommendations aligned with policies, laws and programmes which called for the promotion and protection of civil, political, economic, social and cultural rights, emerging human rights issues, anti-corruption efforts, environmental conservation and development priorities of Tanzania. The Government affirmed its commitment to implementing all the accepted recommendations, which had been deemed strategic and effective interventions for the promotion and protection of human rights. 65 recommendations had been noted; those were recommendations that were not in alignment with the Constitutions, policies, laws, traditions, beliefs and culture of Tanzania, or which required further consultations before making a conclusive decision. The Government strived to ensure that all Tanzanians were provided with equal civil, political, economic, social and cultural human rights.

Discussion

Speakers applauded the Government of Tanzania for progress made in strengthening its institutional frameworks for the promotion and protection of rights and fundamental freedoms. Strides had been made in the area of social development, including the introduction of fee-free primary education and remote learning during the COVID-19 pandemic. Speakers further commended Tanzania on the establishment of the National Commission for Human Rights, which was in accordance with the Paris Principles. Speakers noted steps taken to curb child labour, as well as the measures taken by the Government toward ensuring freedom of expression and the right to information, which included entering into dialogue with media practitioners and amending some pieces of legislation. Tanzania’s acceptance of close to 75 percent of the recommendations showed real commitment to further promoting and protect the rights of all persons on its territory. The acceptance of recommendations prioritised expenditures in health including specialised care and services for people living with albinism, as well as scaling up investment in education.

Other speakers took note of the challenges faced by Tanzania in implementing some of its human rights obligations under Article 12(3) of the African Charter which recognized the right to seek and obtain asylum in other countries, as well as the 1951 Convention relating to the Status of Refugees. Speakers regretted that Tanzania did not receive any recommendations on the rights of sex workers, urging the Government to repeal the Penal Code provisions criminalising acts associated with sex work, place a moratorium on the arrest and harassment of sex workers under vagrancy laws, and revise and harmonise national legislation in line with regional and international human rights instruments. Tanzanian authorities continued to weaponise the law to target the opposition and critical voices, using non-bailable offence provisions under the Criminal Procedure Act to detain people for unreasonable periods of time. The State should ensure accountability for election-related human rights violations and guarantee post-election human rights reforms to reverse the Government’s increasing repression and crackdown on civic space.

The Vice-President of the Council informed that out of 252 recommendations received, 167 enjoyed the support of Tanzania, while 65 had been noted. Additional clarification was provided on 20 recommendations, indicating which parts of the recommendations were supported and which parts were noted

Concluding Remarks

GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania continued to accord great significance to the Universal Periodic Review, as it played a key role in the promotion and protection of human rights in the country. Tanzania was committed to implementing the accepted recommendations, as they would have a direct impact on the realisation of human rights and sustainable development of the country. The Universal Periodic Review was a continuous process, and the Government would continue to address the remaining challenges through dialogue, in collaboration with all stakeholders. It would also continue to strengthen its internal mechanisms and promote engagement with all non-State actors and development partners. The Government, under the stewardship of Tanzania’s first female President, would meet the aspirations and objectives of the Universal Periodic Review mechanism during the coming fourth cycle.



Link: Conseil des droits de l’homme : Examen périodique

https://www.ungeneva.org › 2022/03
Human Rights Council Adopts Outcomes of Universal Periodic ...

23 Mar 2022 — 23 March 2022 Meeting Summaries. The Human Rights Council in a midday meeting adopted the outcomes of the Universal Periodic ....
 
..huyu jamaa mbona ni muungwana?

..hebu tuonyeshe walau clip ya Mwaipaya akifanya fujo au akitukana.

NB:

..je, kosa la kutukana linaruhusu kumshikilia mtuhumiwa bila kumfikisha mahakamani kama inavyofanyika kwa Mwaipaya?

..Je, sheria gani iliruhusu kumteka na kumtesa Mdude Nyagali? Na mbona mahakamani Dpp ameshindwa kuthibitisha hayo unayoyasema?
Anatafuta umaarufu, muache naye wakamchezee matako. Vijana wenzie wako busy wanatafuta fedha, yeye kutwa na mafulana ya Katiba Mpya
 
Kwahiyo wewe unafurahia akiuawa au akiteswa bila kufikishwa mahakamani!
Sifurahii vitendo vya kutekana, kutesana na kuua. Ninavilaani kwa nguvu zote kama nilivyolaani kwa mwanzilishi wa kuteka na kuua Magufuli. Nashauri tu vijana wenye matusi, taatifa za uwongo na karaha kama Mdude na Mwaipaya waonywe kwa kuwa tuko kipindi cha maridhiano
 
Anatafuta umaarufu, muache naye wakamchezee matako. Vijana wenzie wako busy wanatafuta fedha, yeye kutwa na mafulana ya Katiba Mpya

..una maanisha hawa vijana wakikamatwa wanachezewa matako?

..hiyo ni aibu na unyama mkubwa kwa watawala / Ccm kufanya mambo hayo kwa vijana wa nchi hii.

..vilevile, bila juhudi za "wavaa mafulana ya katiba mpya" kama Mwaipaya, tusingefika hapa ambapo hata Ccm wameona ulazima wa katiba mpya.
 
Hayo ni mawazo finyu.

Wale wa ccm wanaotukana wapinzani kila siku wanatafuta nini. Onesha ni wapi amesema anatakaakamatwe ili awe maarufu.


Hamna mnaloweza kihoja bila ya nguvu ya dola.
Inabidi uwe na akili kuelewa nilichoandika hususan male ya Mwaipaya. Je ndammu una uhakika kuwa unazo akili?
 
Sifurahii vitendo vya kutekana, kutesana na kuua. Ninavilaani kwa nguvu zote kama nilivyolaani kwa mwanzilishi wa kuteka na kuua Magufuli. Nashauri tu vijana wenye matusi, taatifa za uwongo na karaha kama Mdude na Mwaipaya waonywe kwa kuwa tuko kipindi cha maridhiano
Unao ushahidi wa hayo unayoyasema! Umewahi kumsikia Mbowe akitukana?
 
Sifurahii vitendo vya kutekana, kutesana na kuua. Ninavilaani kwa nguvu zote kama nilivyolaani kwa mwanzilishi wa kuteka na kuua Magufuli. Nashauri tu vijana wenye matusi, taatifa za uwongo na karaha kama Mdude na Mwaipaya waonywe kwa kuwa tuko kipindi cha maridhiano

..Ni lini na wapi Mwaipaya ametukana?

..Na kama ametukana, je, utaratibu na sheria zimefuatwa ktk kumkamata, kumhoji, kumpekua, na kumshikilia?

..Je, viongozi na watawala hawatukani wapinzani? Je, wanachukuliwa hatua?
 
Sikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa CHADEMA.

Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Rais amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tanzania


Hili linaweza kuwa tatizo kubwa zaidi kwa CHADEMA kuliko kwa serikali ya CCM.
 
amekufa lakini bado kuna masalia ya watendaji wake wanamhujumu Rais Ssh.

..Rais afurumushe masalia wote wasiotaka kwenda na spirit mpya ya haki na maridhiano.
Huyo anaweza kuwa anaigiza tu hayo unayompa 'credit' juu yake.
 
..Ni lini na wapi Mwaipaya ametukana?

..Na kama ametukana, je, utaratibu na sheria zimefuatwa ktk kumkamata, kumhoji, kumpekua, na kumshikilia?

..Je, viongozi na watawala hawatukani wapinzani? Je, wanachukuliwa hatua?
Tusubiri kesho tione mashtaka yake. Lakini nahisi kuna taarifa za uwongo amechapisha kwenye mitandao hasa kwenye issues za Ngorongoro. Vijana walikuwa wanakopi material feki ya Maria Sarungi na kuleta taharuki kwa wananchi. Nahisi tu siyo lazima liwe hilo
 
Back
Top Bottom