- Thread starter
- #41
Hata kama mtu kavunja sheria basi aachiwe tu
.kama amevunja sheria ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
..so far tunaona Polisi wamevunja sheria ktk hatua za kumkamata, kumshikilia, na kumpekua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama mtu kavunja sheria basi aachiwe tu
Ndio mnapofeli kaka. Endeleeni kuamini hivyo, sisi tutawakumbusha.
Atakuwa analamba asali serikali hii imejaa watu wapole sanaSikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa CHADEMA.
Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Rais amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tanzania
Itapendeza ukichaguliwa wewe ili iwe sirikali ya makondoo..amekufa lakini bado kuna masalia ya watendaji wake wanamhujumu Rais Ssh.
..Rais afurumushe masalia wote wasiotaka kwenda na spirit mpya ya haki na maridhiano.
Erythrocyte
Kama serikali ya CCM ina uwezo wa kugawa ILANI yake kwa watendaji wote, basi kuna umuhimu wa serikali kugawa kijitabu cha mikataba 252 iliyosaini kimataifa huko Geneva Switzerland kuhusu HAKI ili kijitabu hicho kiwepo ktk ofisi na madawati wa watendaji wote wa serikali wawe wasikisoma na kujikumbusha kila siku kuhusu ...kujadili mustakhabali wa nchi yao, haki ya jumuika, haki ya kuzungumza, wananchi kuwa na haki ya kuwaambia watawala nini wakifanye, uhuru wa habari, kufunguliwa vya vyombo vya online pia magazeti, imeridhia mikutano ya vyama vya siasa kufanyika...
Anatafuta umaarufu, muache naye wakamchezee matako. Vijana wenzie wako busy wanatafuta fedha, yeye kutwa na mafulana ya Katiba Mpya..huyu jamaa mbona ni muungwana?
..hebu tuonyeshe walau clip ya Mwaipaya akifanya fujo au akitukana.
NB:
..je, kosa la kutukana linaruhusu kumshikilia mtuhumiwa bila kumfikisha mahakamani kama inavyofanyika kwa Mwaipaya?
..Je, sheria gani iliruhusu kumteka na kumtesa Mdude Nyagali? Na mbona mahakamani Dpp ameshindwa kuthibitisha hayo unayoyasema?
Kwamba?Sasa kama JPM amekufa and it's business as usual, why do (or at least did) we attribute haya yote kwa JPM?
Sifurahii vitendo vya kutekana, kutesana na kuua. Ninavilaani kwa nguvu zote kama nilivyolaani kwa mwanzilishi wa kuteka na kuua Magufuli. Nashauri tu vijana wenye matusi, taatifa za uwongo na karaha kama Mdude na Mwaipaya waonywe kwa kuwa tuko kipindi cha maridhianoKwahiyo wewe unafurahia akiuawa au akiteswa bila kufikishwa mahakamani!
Anatafuta umaarufu, muache naye wakamchezee matako. Vijana wenzie wako busy wanatafuta fedha, yeye kutwa na mafulana ya Katiba Mpya
Inabidi uwe na akili kuelewa nilichoandika hususan male ya Mwaipaya. Je ndammu una uhakika kuwa unazo akili?Hayo ni mawazo finyu.
Wale wa ccm wanaotukana wapinzani kila siku wanatafuta nini. Onesha ni wapi amesema anatakaakamatwe ili awe maarufu.
Hamna mnaloweza kihoja bila ya nguvu ya dola.
Unao ushahidi wa hayo unayoyasema! Umewahi kumsikia Mbowe akitukana?Sifurahii vitendo vya kutekana, kutesana na kuua. Ninavilaani kwa nguvu zote kama nilivyolaani kwa mwanzilishi wa kuteka na kuua Magufuli. Nashauri tu vijana wenye matusi, taatifa za uwongo na karaha kama Mdude na Mwaipaya waonywe kwa kuwa tuko kipindi cha maridhiano
Sifurahii vitendo vya kutekana, kutesana na kuua. Ninavilaani kwa nguvu zote kama nilivyolaani kwa mwanzilishi wa kuteka na kuua Magufuli. Nashauri tu vijana wenye matusi, taatifa za uwongo na karaha kama Mdude na Mwaipaya waonywe kwa kuwa tuko kipindi cha maridhiano
Sikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa CHADEMA.
Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Rais amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tanzania
Huyo anaweza kuwa anaigiza tu hayo unayompa 'credit' juu yake.amekufa lakini bado kuna masalia ya watendaji wake wanamhujumu Rais Ssh.
..Rais afurumushe masalia wote wasiotaka kwenda na spirit mpya ya haki na maridhiano.
Tusubiri kesho tione mashtaka yake. Lakini nahisi kuna taarifa za uwongo amechapisha kwenye mitandao hasa kwenye issues za Ngorongoro. Vijana walikuwa wanakopi material feki ya Maria Sarungi na kuleta taharuki kwa wananchi. Nahisi tu siyo lazima liwe hilo..Ni lini na wapi Mwaipaya ametukana?
..Na kama ametukana, je, utaratibu na sheria zimefuatwa ktk kumkamata, kumhoji, kumpekua, na kumshikilia?
..Je, viongozi na watawala hawatukani wapinzani? Je, wanachukuliwa hatua?
Unasemaje hapa mkuu 'denoo.J?Naona na taarifa nyingine MMM nae hajulikani alipo, time will tell.
Sijamtaja Mbowe, nimesema vijana wa CHADEMA. Mbowe siyo kijanaUnao ushahidi wa hayo unayoyasema! Umewahi kumsikia Mbowe akitukana?