Twaha Mwaipaya wa CHADEMA hajapewa dhamana na haijulikani yuko kituo gani. Je, hizi ni hujuma kwa maridhiano?

Twaha Mwaipaya wa CHADEMA hajapewa dhamana na haijulikani yuko kituo gani. Je, hizi ni hujuma kwa maridhiano?

wakati nyumbu wanachanganya matakk kwa shangwe kwamba dhalimu ametwaliwa na Mungu wengine tukawa tunacheka tu.

nyinyi mnadhani watu wanafinywa sababu ya roho mbaya ya mtawala, kumbe wahusika ndio wanajichanganya kifala fala.
 
CCM inakosa majibu yakuwapahawa vijana wa kitanzania wanaodai Katiba ya nchi yao itakayotokana na wao.

Kuna jamaa mmoja mjinga alifikia hatua ya kama unadai katiba mpya basi wewe ni mhaini na qdhabu yako ni kifo...
Yaani kudai katiba ikageuka dhambi kubwa ya mauti.

Na ndiyo maana dhambi hii ya mauti.

Nchi inamatatizo ya kiroho...roho wachafu, roho wa mauti, chuki wametanfa anga la Tanzania.
 
..hebu funguka zaidi.

..wasomaji wengi zaidi watafaidika ukiwa muwazi ktk mchango wako.

..Je, unadhani wanachofanyiwa Cdm na wapinzani ni haki?

..Je, hauguswi na kilio cha vijana wa Cdm kwamba vyombo vya dola na watawala vinawatendea kama raia wa daraja la chini?

..Nini kifanyike ili kuwe na haki sawa kwa vyama vyote?
Ndio maana kwangu mimi huu ni mtihani mkubwa zaidi kwa Chadema kuliko CCM. Chadema wanatakiwa kuonekana wanachukizwa sana na uonevu wowote unaofanyika dhidi ya mwanachama wake bila kujali nafasi yake katika chama. Katibu Mkuu kusema ati wamewaagiza wanasheria wao washughulikie haitoshi. Walitakiwa kuonyesha umma kuwa pamoja na wakubwa kupata afueni kutokana na haya maridhiano, chama kinamjali kila mtu. Nje ya hapa imani itazidi kujengeka kuwa upole wao unatokana na kulambishwa asali. Wasipowapigania kwa nguvu zote hadharani vijana wao wavaa fulana tutaamini vipi kuwa watakuwa tayari kuwapigania wale wasio wanachama? Tayari tunashuhudia ukimya wa chama kuhusu yanayowapata wamasai. Halafu sasa huyu kijana wao. Inabidi wajirekebishe.

Amandla...
 
shida ya vijana wa chadema ni kudhiaki watawala, hii tabia ata mimi sipendi hata kidogo, hebu tuhame kwenye siasa za uhanarakati tuwe na mawazo mbadala

Pia kuna umuhimu wa kufanya boot camp ili vijana wanaandaliwa kuwa viongozi wa baadae chadema waandaliwe na kupewa mafunzo ya siasa ndani na nje ya nchi....

Chadema ina political ideology nzuri sana kuliko vyama vyote,ila hii ya bavicha propaganda ,Hapana kwa kweli......wanajijenga wao binafsi na kutafuta umaarufu kila hoja waowapo tu
Kuna vijana wasiopungua 30 wa CDM + upinzani kwa ujumla ambao JPM aliwahitaji wawe upande wake, wakawa na akawapa uongozi.
Mh. Samia naye anaendelea nao.
Kama hayo usemayo yangekuwa ni kweli na yana mashiko,wakina Katambi,Silinde wasingekuwa viongozi leo hii.
CDM ina hazina ya vijana waliofundishwa nyeupe kuita nyeupe,na tatizo kubwa la "watawala" kama ulivyoandika wewe ni kuwa hawapendi kuambiwa ukweli.
Yaani watawala hawataki kuonekana kuwa wao wanakosea.
 
.kama amevunja sheria ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.

..so far tunaona Polisi wamevunja sheria ktk hatua za kumkamata, kumshikilia, na kumpekua.
Tuache ujuaji, kuwa upinzani haina maana ya kujifanya unajua kila kitu
 
shida ya vijana wa chadema ni kudhiaki watawala, hii tabia ata mimi sipendi hata kidogo, hebu tuhame kwenye siasa za uhanarakati tuwe na mawazo mbadala

Pia kuna umuhimu wa kufanya boot camp ili vijana wanaandaliwa kuwa viongozi wa baadae chadema waandaliwe na kupewa mafunzo ya siasa ndani na nje ya nchi....

Chadema ina political ideology nzuri sana kuliko vyama vyote,ila hii ya bavicha propaganda ,Hapana kwa kweli......wanajijenga wao binafsi na kutafuta umaarufu kila hoja waowapo tu
Africa mtawala mnamuita mungu SHAME!!
 
Sikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa CHADEMA.

Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Rais amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tanzania


Nenda kaibe kwenye majumba ya watu ukadhani watakuacha eti kisa maridhiano
 
Sasa ili Ssh asije akalaumiwa na kulaaniwa kama Jpm ni vizuri akakomesha tabia hii kabla haijarudi ktk viwango vya awamu ya 5.
CCM ni taasisi usitegemee lolote zuri toka kwenye hiki chama.

Hapa unamzungumzia Hangaya kama vile ni mkubwa na ana maamuzi kuliko chama kilichomuweka madarakani.
 
Back
Top Bottom