Masalia hata humu yamo..amekufa lakini bado kuna masalia ya watendaji wake wanamhujumu Rais Ssh.
..Rais afurumushe masalia wote wasiotaka kwenda na spirit mpya ya haki na maridhiano.
Erythrocyte
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masalia hata humu yamo..amekufa lakini bado kuna masalia ya watendaji wake wanamhujumu Rais Ssh.
..Rais afurumushe masalia wote wasiotaka kwenda na spirit mpya ya haki na maridhiano.
Erythrocyte
Ndio maana kwangu mimi huu ni mtihani mkubwa zaidi kwa Chadema kuliko CCM. Chadema wanatakiwa kuonekana wanachukizwa sana na uonevu wowote unaofanyika dhidi ya mwanachama wake bila kujali nafasi yake katika chama. Katibu Mkuu kusema ati wamewaagiza wanasheria wao washughulikie haitoshi. Walitakiwa kuonyesha umma kuwa pamoja na wakubwa kupata afueni kutokana na haya maridhiano, chama kinamjali kila mtu. Nje ya hapa imani itazidi kujengeka kuwa upole wao unatokana na kulambishwa asali. Wasipowapigania kwa nguvu zote hadharani vijana wao wavaa fulana tutaamini vipi kuwa watakuwa tayari kuwapigania wale wasio wanachama? Tayari tunashuhudia ukimya wa chama kuhusu yanayowapata wamasai. Halafu sasa huyu kijana wao. Inabidi wajirekebishe...hebu funguka zaidi.
..wasomaji wengi zaidi watafaidika ukiwa muwazi ktk mchango wako.
..Je, unadhani wanachofanyiwa Cdm na wapinzani ni haki?
..Je, hauguswi na kilio cha vijana wa Cdm kwamba vyombo vya dola na watawala vinawatendea kama raia wa daraja la chini?
..Nini kifanyike ili kuwe na haki sawa kwa vyama vyote?
The founder.Sasa kama JPM amekufa and it's business as usual, why do (or at least did) we attribute haya yote kwa JPM?
Kuna vijana wasiopungua 30 wa CDM + upinzani kwa ujumla ambao JPM aliwahitaji wawe upande wake, wakawa na akawapa uongozi.shida ya vijana wa chadema ni kudhiaki watawala, hii tabia ata mimi sipendi hata kidogo, hebu tuhame kwenye siasa za uhanarakati tuwe na mawazo mbadala
Pia kuna umuhimu wa kufanya boot camp ili vijana wanaandaliwa kuwa viongozi wa baadae chadema waandaliwe na kupewa mafunzo ya siasa ndani na nje ya nchi....
Chadema ina political ideology nzuri sana kuliko vyama vyote,ila hii ya bavicha propaganda ,Hapana kwa kweli......wanajijenga wao binafsi na kutafuta umaarufu kila hoja waowapo tu
Tuache ujuaji, kuwa upinzani haina maana ya kujifanya unajua kila kitu.kama amevunja sheria ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
..so far tunaona Polisi wamevunja sheria ktk hatua za kumkamata, kumshikilia, na kumpekua.
Huyo marehemu wako ndie alianzisha Siasa hizi za KishetaniSasa kama JPM amekufa and it's business as usual, why do (or at least did) we attribute haya yote kwa JPM?
Africa mtawala mnamuita mungu SHAME!!shida ya vijana wa chadema ni kudhiaki watawala, hii tabia ata mimi sipendi hata kidogo, hebu tuhame kwenye siasa za uhanarakati tuwe na mawazo mbadala
Pia kuna umuhimu wa kufanya boot camp ili vijana wanaandaliwa kuwa viongozi wa baadae chadema waandaliwe na kupewa mafunzo ya siasa ndani na nje ya nchi....
Chadema ina political ideology nzuri sana kuliko vyama vyote,ila hii ya bavicha propaganda ,Hapana kwa kweli......wanajijenga wao binafsi na kutafuta umaarufu kila hoja waowapo tu
Sikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa CHADEMA.
Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Rais amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tanzania
Taarifa zinasema he was somewhere ok!. alikuwa offline kwa mambo yake private.Unasemaje hapa mkuu 'denoo.J?
Nashindwa kuelewa!
CCM ni taasisi usitegemee lolote zuri toka kwenye hiki chama.Sasa ili Ssh asije akalaumiwa na kulaaniwa kama Jpm ni vizuri akakomesha tabia hii kabla haijarudi ktk viwango vya awamu ya 5.