Unasoma rundo la mafaili wizarani, unapokea simu, unahudhuria vikao nk.wakati huohuo unasoma literature kuhusu tasnifu yako. Unafikiria kukaa mbele ya maprofesa kudifend.
Kwa nini wanasoma wakiwa mawaziri na kama hili halipunguzi ufanisi wa kazi ya uwaziri ni kweli,?
Kufanya utafiti ngazi ya PhD si jambo lelemama na hii ndio hoja ya Mwandosya.
Mimi kama rais nakupa kazi uwajibike100% halafu unagawa tena muda wangu.
Why, why...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.