Uchaguzi 2020 Tweet ya Mbowe tayari ni uchochezi, Vyombo vya Dola vimshuhulikie

Umeandika porojo nyingi halafu hujaweka hayo maneno unayoita ya uchochezi huoni kua wewe hapa ndio mchochezi.
 
Nenda Wewe ukawasaidie hao unaowaita vyombo
 
Robert Amsterdam
 
Yule aliyesema kupiga buti nae ilikuwa nini ile? Unajua ndugu yangu kama CCM mkereketwa sio wewe pekeako Tanzania hii hata Mimi ni mwanachama wa chama cha mapinduzi, tusijitoe ufahamu kiwango hiki.Huwezi kuendesha nchi bilakufata misingi ya HAKI
HAKI ndio msingi wa AMANI mahali popote .
 
Ni kutenda haki tu ndiko kutatuvusha salama! Siku zote palipo na haki pana amani! Acha kutapatapa na kutupa mawe gizani, wewe ndiye mchochezi wa viwango vya kutisha!
 
Jinga lingine hili, unatumia makamasi kufikilia
 
Kwa hiyo wewe Zoba ndio msemaji wa serikali ???. unajifanya una uchungu sana na nchi hii, waambie hao watawala wenu waheshimu sheria
 
Mnajua nyie bila kuonja machungu, hamuwezi heshimu wengine hivyo endeleeni maana mmejaa viburi kupindukia.

Uzuri wameshawaambia this time tutalia wote.
Awapi, mtalia nyie mtakao ingizwa road.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…