Uchaguzi 2020 Tweet ya Mbowe tayari ni uchochezi, Vyombo vya Dola vimshuhulikie

Uchaguzi 2020 Tweet ya Mbowe tayari ni uchochezi, Vyombo vya Dola vimshuhulikie

Personal attack hazijawahi kuwa hoja wala mkombozi katika mdahalo!Sana sana utaonekana umepanic!
Nimesoma ndiyo maana nimekujibu kuwa umeongelea ujinga ujinga tuu,,,Kuna watu wengine wanaandika hoja na inajadiliwa vizuri ila siyo hii uliyoandika wewe, umeandika Kama kavulana Tena kaliko barehe juzi juzi tu na kanakaa kwa shemeji
 
Ndio nasema,usidhani kufeli kwako kimaisha basi kila mtu yuko hivyo!Utapata stress buree!
Umenichekesha Sana usiyemjuwa utapata tabu bure,, kwa ulopakaji wako naweza sema life nililonalo nahisi hata baba yako Hana na utakuwa umezaliwa familia duni ndiyo maana unaona Kama umewin maisha kumbe wala ni kutoka familia duni tuu
 
Wanyonge wakichoka ndo wanageukaga waasi...

Huyu wa sasa sio wale wa kumuachia Mungu.
 
Umenichekesha Sana usiyemjuwa utapata tabu bure,, kwa ulopakaji wako naweza sema life nililonalo nahisi hata baba yako Hana na utakuwa umezaliwa familia duni ndiyo maana unaona Kama umewin maisha kumbe wala ni kutoka familia duni tuu
Sio mbaya kujifariji,pambana na hali yako!
Ila tambua JF ni hoja tu,ukitaka kutishiana maisha njoo DM!
 
Nimesoma ndiyo maana nimekujibu kuwa umeongelea ujinga ujinga tuu,,,Kuna watu wengine wanaandika hoja na inajadiliwa vizuri ila siyo hii uliyoandika wewe, umeandika Kama kavulana Tena kaliko barehe juzi juzi tu na kanakaa kwa shemeji
Hayo mambo ya kukaa kwa shemeji huwa naona humu JF baadhi ya watu wakishambulia wengine,hua nawaona wapuuzi na walioishiwa hoja!Kuanza kmtambia mtu usiyemjua ni uwendawazimu!Grow up,pathetic idiot!
 
Chadema wanajiona waondio wapinzani pekeyao.wakijitoa na wajitoe tu.
 
Mkuu akina Mbowe wamekulia ikulu is not like you uliyeanza kuvaa viatu baada ya kuja Dar.
Usiwe mjinga kiasi hiki!

Ikulu gani aliyokulia Mbowe?

Nmekuuliza kuna mtu kasema atamkata Lisu kwa kosa lipi?

Kwanini Mbowe wanajishtukia sana? Kwani Lisu kuna kosa amefanya litasababisha tume kumkata?

Sasa badala ya kuja na jibu unakuja na kihoja
 
kutokana na wimbi la wagombea wa upinzani kuwindwa na shetani kama swala ili watekwe au wauliwe huku viongozi wa dini na tume wakikaa kimya sababu wagombea wa ccm hawatekwi ni jukumu lao sasa wagombea wa upinzani kujihami binafsi na kurekodi matukio yote live watumie kofia,miwani,earphone, nguo zenye camera 360 degree warekodi kila kitu huku wakitembea na watu waliofully armed ili kujilinda endapo watafamiwa waweze kutoa fundisho ili wakamsimulie shetani aliyewatuma na sio kulalamika mnatekwa tekwa hovyo hovyo kirahisi tu kumbukeni mpo mawindoni sababu wanajua awatoboi kwenye sanduku.Toeni funzo kama wananchi wa Ukara tembeeni hata na asidi atakaekugusa tu anayo ndo njia pekee ya kujihami,hatutaki watu wa kulialia safari hii.Rekodini matukio yote mrudishapo formu kama ushahidi na kuyarusha live watz wayaone. Pia tembeeni na kopi za fomu kwenye bahasha ifananoyo na ya nec ili kuwaadaa waporaji wakija wapore hizo kopi huku halisi mkiwa mmezificha mnapopajua wenyewe. Tumieni kanuni namba 9 ya shetani mtu akikufanyia ushenzi mfanyie mara kumi yake mpaka ajiulize huyu ni mtu au.Endeleeni kuwa wajinga mtatekwa hadi mchakae
 
Mhe. Mbowe anatishia amani ya nchi yetu kwa maslahi yake ya kisiasa kiongozi kuongea neno lolote linaloashiria vurugu na kuvunja amani, huo ni uchochezi.

Mhe. Mbowe leo katumia Ukurasa wake wa Twitter kuandika Maneno ambayo yanaashiria kuhamasisha vurugu na kuitishia Tume ya Taifa ya uchaguzi na kuonyesha nia ya dhati ya kutaka kuingilia mamlaka yao.

Kama siku zote CHADEMA mmekuwa wahubiri wa kutaka watu waheshimu Mamlaka na sheria za nchi basi nyie mnatakiwa muwe mfano. Kwanini mnakuwa na wasiwasi sana juu ya Mgombea wenu?

Kwanini Mgombea wenu aheshimu sheria na Utaratibu uliopangwa kwanini mgombea wenu aheshimu Mahakama.

Binafsi iliniudhi sana kuwaona CHADEMA mnamsapoti Tundu Lissu hata pale alipoitwa na Mahakama na kushindwa kuhudhuria kwa kudai kajiweka karantini halafu akaja kuonekana kwenye mikutano na baadhi ya Maandamano.

Mbowe msiichezee Tanzania kama kweli mnajua hamjavunja sheria kwanini mnakuwa na wasiwasi?

Tume ya uchaguzi kama itamkata Lissu lazima itoe sababu so kabla CHADEMA hamjafanya maamuzi itabidi muipime hiyo sababu na mjiulize, je kaonewa ama la.

Msitutishe nchi hii ni kubwa kuliko CHADEMA na CCM pia uchaguzi sio baina ya CCM na CHADEMA tu bali kuna vyama kibao so CHADEMA mkijitoa uchaguzi bado utakuwepo tena kwa nguvu ile ile.

====

Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.

View attachment 1547347
Hawa dawa yao ni kumuengua Lissu maana ndio wanachotaka.

Asipoondolewa watasema wameogopa bora hata aondolewe hata kwa uonevu.

Ili iwe funzo kwa makauli yao ya kipuuzi kutiisha tiisha watu tu.
 
Hivi kwani kuna mtu kasema watamkata Lissu?

Mbona hawa kina Mbowe wanajishtukia sana?
Kuna kosa walilofanya, kwa bahati mbaya halikuwa mkakati wao umebuma. Wamebaki kutapatapa na kubwekea mitandaoni. Isha kula kwao
 
Hivi kwani kuna mtu kasema watamkata Lissu?

Mbona hawa kina Mbowe wanajishtukia sana?
Chadema wana taarifa zote za vikao vya Siri anavyofanya jaji kaijage na IGP, Lipumba, Shibuda, polepole na viongozi wengine wa CCM, wanajua sinema zote zinavyoandaliwa kumhujumu Tundu lisu kuwadhoofisha chadema na kuua upinzani kwa ujumla
 
Hawa dawa yao ni kumuengua Lissu maana ndio wanachotaka.

Asipoondolewa watasema wameogopa bora hata aondolewe hata kwa uonevu.

Ili iwe funzo kwa makauli yao ya kipuuzi kutiisha tiisha watu tu.
Wewe ndiyo mpuuzi kwa Duwa zako za kichawi acha roho mbaya Lisu akienguliwa utapata nini? au CCM watakulea kukulipia mfanyakazi wa kukufulia nguo mpaka siku unakufa ? watu gani wametishwa? CCM ndiyo chanzo cha vurugu kwa njama zao za kuitokomeza chadema acheni ushetani
 
Sio roho mbaya, nyie mnataka shari.
Mbona mmekuwa na wasiwasi na mgombea wenu.
Mbona vyama vingine havitoi kauli ka zenu kuhusu wagombea wao. Mnashindwa kujiamini nini.
Ni bora wamuengue ili tuone jinsi pasivyo tosha.
 
Wanajua wanacho kifanya, wanajua kabisa wamefanya makosa ambayo yanaweza kutumika kuwaondoa kwenye uchaguzi. Hapo wanajihami ili hata wakikatwa kwa makosa yao basi jamii iamini kuwa wanaonewa. Yani wanataka kutuaminisha kwamba maana halisi ya Tume kutenda haki ni lazima wao wapite tu hata Kama wanatenda makosa lakini yasiangaliwe badala yake wapitishe tu lakini kinyume na hapo basi Tume haitendi haki.

Wajue tu kuwa Tume haitoi maamuzi kwasababu ya hivyo vitisho vyao kuvuruga amani asiye fuata utaratibu lazima aadhibiwe.
Binafsi ninaamini mnawahujumu maana hayo mapanga wanayokatwa watu wao yanatoka wapi?
Naona mnalianzisha taratibu
 
Kuna kosa walilofanya, kwa bahati mbaya halikuwa mkakati wao umebuma. Wamebaki kutapatapa na kubwekea mitandaoni. Isha kula kwao
Wewe ndiyo unatapatapa mitandaoni kwa kutengeneza makosa feki huku ukiona waliokushitukia wanabweka kumbe wanakuambia ukweli, haijakula kwa mtu itakula kwenu nyinyi mwenye mipango ya kishetani hakuna mabaya yasiyo na mwisho, walikuwepo akina Abacha, mabutu, Elbashiri, Iddy Amin dada, chiluba, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein wapo wapi sasa?
 
Umeandika porojo nyingi halafu hujaweka hayo maneno unayoita ya uchochezi huoni kua wewe hapa ndio mchochezi.
CCM ya sasa ni CCM penda kesi kesi imekuwa CCM ya wambeya kila neno wakisikia toka chadema hulibatiza ni uchochezi ili wapate kisingizio cha kuwabambikia kesi.
 
Back
Top Bottom