Uchaguzi 2020 Tweet ya Mbowe tayari ni uchochezi, Vyombo vya Dola vimshuhulikie

Yule aliyesema kupiga buti nae ilikuwa nini ile? Unajua ndugu yangu kama CCM mkereketwa sio wewe pekeako Tanzania hii hata Mimi ni mwanachama wa chama cha mapinduzi, tusijitoe ufahamu kiwango hiki.Huwezi kuendesha nchi bilakufata misingi ya HAKI
HAKI ndio msingi wa AMANI mahali popote .
Kwa hiyo tuyaache mabeberu yatupangie lakufanya!
 
Mtu akisoma comment anagunduwa tuu akili yako
Acha kushikwa akili wewe popoma,jadili hoja!Hii ni JF na pole sana kama umekosea kulog in ukijua unaingia FB!
Akili za kuvukia barabara usizilete hapa!
 
Mie nakuuliza Kuna hoja gani umeandika hapo? ,,Nungependa kujua age yako na Elimu yako plz
 
Mhe. Mbowe anatishia amani ya nchi yetu kwa maslahi yake ya kisiasa kiongozi kuongea neno lolote linaloashiria vurugu na kuvunja amani, huo ni uchochezi.

Mhe. Mbowe leo katumia Ukurasa wake wa Twitter kuandika Maneno ambayo yanaashiria kuhamasisha vurugu na kuitishia Tume ya Taifa ya uchaguzi na kuonyesha nia ya dhati ya kutaka kuingilia mamlaka yao.

Kama siku zote CHADEMA mmekuwa wahubiri wa kutaka watu waheshimu Mamlaka na sheria za nchi basi nyie mnatakiwa muwe mfano. Kwanini mnakuwa na wasiwasi sana juu ya Mgombea wenu?

Kwanini Mgombea wenu aheshimu sheria na Utaratibu uliopangwa kwanini mgombea wenu aheshimu Mahakama.

Binafsi iliniudhi sana kuwaona CHADEMA mnamsapoti Tundu Lissu hata pale alipoitwa na Mahakama na kushindwa kuhudhuria kwa kudai kajiweka karantini halafu akaja kuonekana kwenye mikutano na baadhi ya Maandamano.

Mbowe msiichezee Tanzania kama kweli mnajua hamjavunja sheria kwanini mnakuwa na wasiwasi?

Tume ya uchaguzi kama itamkata Lissu lazima itoe sababu so kabla CHADEMA hamjafanya maamuzi itabidi muipime hiyo sababu na mjiulize, je kaonewa ama la.

Msitutishe nchi hii ni kubwa kuliko CHADEMA na CCM pia uchaguzi sio baina ya CCM na CHADEMA tu bali kuna vyama kibao so CHADEMA mkijitoa uchaguzi bado utakuwepo tena kwa nguvu ile ile.

Yaani nyie kila kitu ni uchochezi dah
Hao watu wanaochochewa si ndio wale walikuwa wanashangaa treni moshi?

So mnahofu ya nn wakati mnajua Watu hawatachochewa kufanya chochote
 
Acha kutisha watu we zumbukuku
Mhe. Mbowe anatishia amani ya nchi yetu kwa maslahi yake ya kisiasa kiongozi kuongea neno lolote linaloashiria vurugu na kuvunja amani, huo ni uchochezi.

Mhe. Mbowe leo katumia Ukurasa wake wa Twitter kuandika Maneno ambayo yanaashiria kuhamasisha vurugu na kuitishia Tume ya Taifa ya uchaguzi na kuonyesha nia ya dhati ya kutaka kuingilia mamlaka yao.

Kama siku zote CHADEMA mmekuwa wahubiri wa kutaka watu waheshimu Mamlaka na sheria za nchi basi nyie mnatakiwa muwe mfano. Kwanini mnakuwa na wasiwasi sana juu ya Mgombea wenu?

Kwanini Mgombea wenu aheshimu sheria na Utaratibu uliopangwa kwanini mgombea wenu aheshimu Mahakama.

Binafsi iliniudhi sana kuwaona CHADEMA mnamsapoti Tundu Lissu hata pale alipoitwa na Mahakama na kushindwa kuhudhuria kwa kudai kajiweka karantini halafu akaja kuonekana kwenye mikutano na baadhi ya Maandamano.

Mbowe msiichezee Tanzania kama kweli mnajua hamjavunja sheria kwanini mnakuwa na wasiwasi?

Tume ya uchaguzi kama itamkata Lissu lazima itoe sababu so kabla CHADEMA hamjafanya maamuzi itabidi muipime hiyo sababu na mjiulize, je kaonewa ama la.

Msitutishe nchi hii ni kubwa kuliko CHADEMA na CCM pia uchaguzi sio baina ya CCM na CHADEMA tu bali kuna vyama kibao so CHADEMA mkijitoa uchaguzi bado utakuwepo tena kwa nguvu ile ile.
 
Huwezi kuwa na Masters , labda Kama ni ya chupi,,huwezi kujenga pumba na ujinga Kama huo ukasema unamasters labda Kama uliipata kwa chupi
Ndio nasema,usidhani kufeli kwako kimaisha basi kila mtu yuko hivyo!Utapata stress buree!
 
Hivi kwani kuna mtu kasema watamkata Lissu?

Mbona hawa kina Mbowe wanajishtukia sana?
Mkuu akina Mbowe wamekulia ikulu is not like you uliyeanza kuvaa viatu baada ya kuja Dar.
 
Back
Top Bottom