Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

Msitupe LULU ZENU CHINI YA NGURUWE WASIJE WAKAGEUKA NA KUZIKANGAGA NA KUWALALUENI..nyinyi mlitupa lulu zeni chini ya SA100 na RAIA FEKI KINA ROSTAM AZIZI, ZUNGU ,NK na sasa Wamegeuka na kuzikanyaga na kukulalueni ....Mlipo kuwa mna mshabikia na kushabikia upumbavu wa SA100 haya ndiyo matunda yake ....ni nyinyi mlio mpa nguvu huyo samia kwa kumshabikia katika kila upumbavu....siku zote mpumbavu ujifunza kwa uchungu na maumivu na hasara kubwa sana kwa sababu siku zote mpumbavu upractice upumbavu wake kwenye maisha.
 
Kwa muonekano wake huyo Dully, mbona sioni km ni basha? Anaonesha yeye ndo Analiwa.

Kumbe kweli nae yuko ktk industry, tena hajifichii, yuko wazi waziii.

Duuuh mabwakuuuu!!!

Mkuu, unawajua kwa kuwaangalia tu!
 
Sijui kwanini aliamua kujiexpose hivi

Kama ni kweli
Kujiexpose vipi? Hizo ni tweet za muda mrefu kabla hata hawajawa na nafasi waliyonayo

Wewe pia rudi siku za mwanzo unajiunga jf, angalia ulichokua ukiandika kuna kitu utagundua. Watu wengi mwanzoni wanapoanza kutumia mitandao huwa wanaandiaga vitu vya ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…