Tweets za January Makamba na Zitto kuhusu Hotuba ya Warioba

Tweets za January Makamba na Zitto kuhusu Hotuba ya Warioba

Status
Not open for further replies.
January Makamba ‏@JMakamba 10m Kilichofanyika Bungeni leo ni kuorodhesha matatizo ya ndoa (ambayo ni ya kweli) halafu kisha kusema kwamba kuongeza mke ndio jawabu lake.

Anataka kumpa mkewe TALAKA?Hajui mke mzuri ukimuacha halafu umuone Barabarani na MUME mwingine?Hakuna haja ya kumuacha ila inabidi umpe tu UHURU anaohitaji ili NDOA iwe na manufaa kwa pande zote mbili.
 
Huyu January badala ya kutoa solution analeta maneno ya kanga halafu eti anataka kuwa RAIS shame on him anadhani Tume ilikurupuka kufikia uamuzi huo pia anatakiwa ajue Ndoa ya muke na mume si sawa na Ndoa ya kuunganisha sehemu mbili kimantiki kuwa na serikali tatu haifanani na kuongeza mke wa tatu .....SHAME ON YOU JANUARY.
 
He he he, panapofuka moshi...???

Afu sisiemu bana, wangewa-control hawa watotot wao walowabeba na vitwit vyao. Huyu hajui tu, ila kwa watu makini ni kuwa kauza ramani ya vita. Akchwale kasema kile mabosi zake wanachoamini na wanachokitaka.

Sasa, walio upande mwingine wa shilingi washindwe wao, washaanza kuomba PO kiaina.

Akyamama, hakuna kitu kibaya kama mwanmme mwoga na asiye na kifua cha kutunza mambo. Kama ni vitani na mie ni kamanda lazima nikuweka chambo, mbafu kabisa.
 
ameonyesha matatizo ya ndoa na ameshauri wanandoa wasibanane kupita kiasi ili ndoa ipumue,ndio itadumu. Mume gani kila siku unachunguza simu ya mkeo? Haujiamini au?. Warioba ni kichwa. Nadhani kwa sasa ukitoka uwezo wa Nyerere kuchanganua mambo na kujiamini,anafuata Mzee Warioba. Wengine wote ni waoga na wanafki.
 
I am sorry, but it is a fallacious analogy. Hi ndoa baina ya nani na nani? Kama ni bara na visiwani, basi mke wa tatu anyeongezwa atakuwa nani? Murisi au Komoro au Malawi? Kama siyo kumleta mwingine katika ndoa hiyo, hiyo analogy si sahihi, haina mantiki na ni hoja ya kitoto, mheshimiwa waziri na mbunge.

January Makamba ‏@JMakamba 10m Kilichofanyika Bungeni leo ni kuorodhesha matatizo ya ndoa (ambayo ni ya kweli) halafu kisha kusema kwamba kuongeza mke ndio jawabu lake.
 
wahenga walisema akili ni nywele.
m2 mnamuona ana upara mda wote inamaana sasa hv zmebakia za makwapani na maeneo fulani ndio anazitumia kufikiria
 
Tunapojadili Katiba tusizongwe na mawazo ya mtu
 
January Makamba ‏@JMakamba 10m Kilichofanyika Bungeni leo ni kuorodhesha matatizo ya ndoa (ambayo ni ya kweli) halafu kisha kusema kwamba kuongeza mke ndio jawabu lake.

Mawazo mgango cc watanzania wa kweli tunasema acha sepetu iitwe sepetu na kijiko kiitwe kijiko warioba wamesema maovu yote na kutoa suluhu ya matatizo ambaye yamegharimu serikali kupitia fedha za walalahoi kwa matrilioni. mungu ambariki sana Jaji Dr Warioba
 
Aayah!!

Wangekipa kisendeka nafasi atowe ya moyoni!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom