Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joseph warioba amewavuluga ccm.mwenzenu anatetea tanzania.nyinyi mnatetea chama(ccm) kamwe hamuwezi kufanana.!January Makamba ‏@JMakamba 10m Kilichofanyika Bungeni leo ni kuorodhesha matatizo ya ndoa (ambayo ni ya kweli) halafu kisha kusema kwamba kuongeza mke ndio jawabu lake.
January Makamba ‏@JMakamba 10m Kilichofanyika Bungeni leo ni kuorodhesha matatizo ya ndoa (ambayo ni ya kweli) halafu kisha kusema kwamba kuongeza mke ndio jawabu lake.
Baba hana akili nilijua mtoto atakuwa na akili kumbe mbulula.sindiyo mtoto alisema watz wengi wana line nyingi za mitandao ya simu.kuliko matundu ya choo ya nchi nzima.!Huyu jamaa naye anataka urais ?. akili mbovu kama Baba yake.
. mkuu rudia tena! mbavu zangu mimiView attachment 145634Like a father like a son......Mtu huyu aweza kuzaa mwenye tofauti naye ki akili na kimtazamo kweli? DNA zingekataa , so mtoto kama baba tu..
Wewe mbulula hawazungumzii uislamu."kwani ndio kweli haiwezekani tukaachana kwa wema na ikhsani? kwenye Uislam ndio mafunzo yetu ikiwa ndoa haifanyi kazi tena, japo sijaelewa hapa nani mume na nani mke"
Kwani huwa naye Ana ubongo au udongo!!!!!!!!!!kwa hyo kauli yake eti ana taka uraisi angeshirikisha hata ubongo kidogo kajidhalilisha bora angenyamaza
What do you have to offer as a solution?Warioba he is very right on problem AND very wrong on solution!!!!
January Makamba ‏@JMakamba 10m Kilichofanyika Bungeni leo ni kuorodhesha matatizo ya ndoa (ambayo ni ya kweli) halafu kisha kusema kwamba kuongeza mke ndio jawabu lake.