Tweets za January Makamba na Zitto kuhusu Hotuba ya Warioba

Tweets za January Makamba na Zitto kuhusu Hotuba ya Warioba

Status
Not open for further replies.
Kwa makosa yote ya mtu, sidhani kama mtu anakatazwa kuwa na mawazo yake binafsi. Pia sidhani kama mtu unaweza kufanya comparison analysis kwenye twitter.
 
Kwa makosa yote ya mtu, sidhani kama mtu anakatazwa kuwa na mawazo yake binafsi. Pia sidhani kama mtu unaweza kufanya comparison analysis kwenye twitter.

Ameonyesha dalili za kushindwa na kukosa suluhisho .................... hiyo ni mbaya sana kwa kiongozi tena anayejidai ana sifa za kuwa Rais!!
 
Huyo jamaa amekuwa Zuzu sana.amesahau ana wakilisha wananchi.Nafikiri ameanza kazi rasmi ccm "A" au ccm "B"

vijana wenzangu tuwe macho sana na hawa wazee hili swala usiingie kichwakichwa matokeo ya serikali mbili au tatu yatalifaidisha kundi mojawapo ndani ya ccm na sio wewe wala ndugu yako, CCM imegawanyika mara mbili kuna wa serikali 2 na tatu kwa maslahi bnafsi. cha msingi tuconcetrate na na maswala muhimu kwenye katiba yetu kama afya, miundombinu, elimu na malazi. katiba inasema nini juu ya haya, hata wao wakiamua nchi iongozwe na jaji mkuu au spika hayo ni yao wanasiasa.
 
Kwa makosa yote ya mtu, sidhani kama mtu anakatazwa kuwa na mawazo yake binafsi. Pia sidhani kama mtu unaweza kufanya comparison analysis kwenye twitter.

Kwa mtazamo huo huo pia hakuna mtu anayekatazwa ku-challenge mawazo ya mtu mwingine hata kama ni binafsi. Ukishatoa mawazo yako hadharani ujue umeshatoa nafasi kwa watu wengine questioning of its truth or value!
 
Anataka kumpa mkewe TALAKA?Hajui mke mzuri ukimuacha halafu umuone Barabarani na MUME mwingine?Hakuna haja ya kumuacha ila inabidi umpe tu UHURU anaohitaji ili NDOA iwe na manufaa kwa pande zote mbili.

Mkuu sijakuelewa ujue! Yaani hata kama uhuru wenyewe ni wa kwenda kugongwa nje mabwana zake waliomwondolea usichana wake! Sijakupata asilani.
 
January Makamba ‏@JMakamba 10m Kilichofanyika Bungeni leo ni kuorodhesha matatizo ya ndoa (ambayo ni ya kweli) halafu kisha kusema kwamba kuongeza mke ndio jawabu lake.

Mfano wake ungekuwa na maana iwapo mpango ungekuwa ni kuiongeza Comoro au Shelisheli kama njia ya kuimarisha muungano.Kama anapenda kufananisha muungano wa nchi na ndoa basi serikali 3 ni kama kuongeza Miranda, nyumba,gari au account tu kwa wanandoa.
 
Ameonyesha dalili za kushindwa na kukosa suluhisho .................... hiyo ni mbaya sana kwa kiongozi tena anayejidai ana sifa za kuwa Rais!!

Wewe una maoni yapi- au ni wale wale wa hilo SAWAAAAAAAAAAAAAA
 
Ndoa ikivurugika mnagawana mbao na kama kuna watoto mnaweka utaratibu wa custody.

Huyu January anapata wapi ujasiri wa kumkejeli Warioba? kati yake na Warioba nani anajua vema Muungano?
 
Huyo jamaa amekuwa Zuzu sana.amesahau ana wakilisha wananchi.Nafikiri ameanza kazi rasmi ccm "A" au ccm "B"

Tueleze kakosea wapi na wewe ulitaka asemeje. Acha ujima wewe ndio utaonekana ZUZU
 
Kwa mtazamo huo huo pia hakuna mtu anayekatazwa ku-challenge mawazo ya mtu mwingine hata kama ni binafsi. Ukishatoa mawazo yako hadharani ujue umeshatoa nafasi kwa watu wengine questioning of its truth or value!

Rightly So...., una haki ya kuongelea na ku-challenge kila kitu ila kumuita mtu msaliti na coward sababu mawazo yake, yanayokukera ni kuingilia uhuru wa mawazo ya mtu
 
This guys is coward and kwa kweli amenikera sana, iinaonekana sasa ni shabiki wala hajui hata umhimu wa tafiti zinazofanywa; nilitegemea a comparison analysis of live and dying union government, ni dhahiri zitto anafaidiaka na mfumo huu wa ccm; ni dhahiri ana mgao wa kutosha kutoka katika mfumo huu batili kabisa katika jamii yoyote duniani; zitto anatweety. Akili za aina hii sijui hatawanapataje bahati kupata hata nfasi za ubunge, zitto mtu hovyo kabisa, nilitegemea aeleze hoja then atoe uchambuzi wa kitafiti kupingana na hoja za warioba; by th way already rasmu tunayo tayari uda mrefu alitegemea wanakuja kutoa tofauti?

Maelezo ya warioba kiukweli ni opportunity kubwa sana tena yenye suluhisho

Zitto: "Tujidae kisakolojaia kuvunjika kwa muungano"

Usipende kusikia unachokitaka tu, Lazima tuwe na mawazo tofauti tofauti, usitake watu wote wawe kama makondoo!
 
Kwa m$iofahamu juu ya huyo joka jeu$i(zitto kabwe),ni kwamba amekuwa chini ya uangalizi na hawa jamaa waTI$$ ambao wame$hirikiana na nchemba na wa$ira kuwa wamemfanyia mpango kuwa atakuwa mfanyakazi ndani ya hiyo idara nyeti ila yy akibakia kuwa mwana$ia$a na ndo maana wamempatia fedha kuanzi$ha ACT lengo ni kuvuruga watu waupinza na ndo maana hata $a$a ana$hindwa ku$imamia ukweli wa hoja.kama hii aliyoitweeti,najiuluza $wali kwanini mtu akiwa ndani ya CCM na akili yake inapungua?mara baada ya kuanza kutumiwa!!kwa$a$a hata mju$i anaakili kupita ZZK.
 
Inaonekana somo la Warioba kuna viumbe halijawaingia.

January kaandka Twitter kuwa watatumia uwingi wao kuulinda muungano.

CCM hawaitamani Tanganyika yetu?

Muungano una matobo kibao bado unang'ang'aniwa wa nini?

Kuna Watu wanafaidika nao nini?
 
Utaombeaje muungano kuvunjika kwa hoja kama wewe patriotic kweli badala ya kucheza na all ample opportunities na kuzuia mawazo hasi haya; Msalani sio kutofautiana bali angetoa suluhisho
 
Zito na Makamba ni kama moshi na moto, wanaongozanaga kweli. Afu na staili yao ile ile ya vitwit, sijui hii era ya uongozi walii-recruit toka wapi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom