Tweets za January Makamba na Zitto kuhusu Hotuba ya Warioba

Tweets za January Makamba na Zitto kuhusu Hotuba ya Warioba

Status
Not open for further replies.
anajipendekeza ili asamehewe adhabu aliyopewa na viongozi wake wa chama kuhusu kuanza kampeni mapema.
 
Msimamo wa CCM hivi ulitoka kwa nani? Kama mawazo yaliyotoka kwenye rasimu yametoka kwa wananchi, ccm walikusanya wapi na lini hayo maoni?
 
132.jpg
makamba is so vain, useless kabisa

yoote yaliyozungumzwa na jaji warioba comments za mheshimiwa naibu waziri zinalinganisha yaliyosemwa na unyumba!!!!!sad!
 
January kachemka! ktk ndoa anayozungumzia, nani ni mke na nani ni mme? Mi naona muungano wetu haufanani na ndoa. Na hizi zinaweza kuonekana kama kejeli kwa Znz kwamba ndio mke aliyeolewa na mme ambaye ni Tz-bara!
 
January Makamba ‏@JMakamba 10m Kilichofanyika Bungeni leo ni kuorodhesha matatizo ya ndoa (ambayo ni ya kweli) halafu kisha kusema kwamba kuongeza mke ndio jawabu lake.

Halafu ndo anafikiria kuwa Rais, watakuja sana na hoja za kwenye vijiwe vya kahawa, mwishowe wataisoma tu! Viongozi na wanasiasa wa nchi zilizoendelea, wanapowafundisha siasa vizazi vyao, huwa wanawafundisha jinsi ya kupata mafanikio kwa kujenga hoja na ushawishi kwa jamii.........hawa wenzetu huwa wanawafundisha watoto wao namna ya kuiba na kuficha uovu........ndiyo maana watoto wengi wa wanasiasa wa tanzania wanawza na kutenda uharo mtupo
 
Ccm wameshaanzq
Ccm ni mabingwa wa unafiki, wachumia tumbo wakubwa hawa. Hawajajua kama katiba wanayo tunga sii yao. Mtu kama Kingunge anakula pension ya umri. Bado anasinzia bungeni anatunga katiba.
 
He he he, panapofuka moshi...???

Afu sisiemu bana, wangewa-control hawa watotot wao walowabeba na vitwit vyao. Huyu hajui tu, ila kwa watu makini ni kuwa kauza ramani ya vita. Akchwale kasema kile mabosi zake wanachoamini na wanachokitaka.

Sasa, walio upande mwingine wa shilingi washindwe wao, washaanza kuomba PO kiaina.

Akyamama, hakuna kitu kibaya kama mwanmme mwoga na asiye na kifua cha kutunza mambo. Kama ni vitani na mie ni kamanda lazima nikuweka chambo, mbafu kabisa.

Heeeeee, Kongosho kumbe nawe wamo.........halafu inaonekana umekereka kweli leo! Ndo hivyo tena madam we ukiamua kuwa mwanaCCM ni sharti uwe tayari kukongoroka akili. sasa hapa in ten years time chama kitakuwa kinajipambanua eti huyu ni mmoja wa makada na magwiji wa chama......CCM **k*ndu sana!
 
Naamini kwa uzi huu amejitambua huyu jamaa, hivi ni nani kaufanya Urais umekuwa kitu cha kawaida hadi huyu anautaka.
 
This guys is coward and kwa kweli amenikera sana, iinaonekana sasa ni shabiki wala hajui hata umhimu wa tafiti zinazofanywa; nilitegemea a comparison analysis of live and dying union government, ni dhahiri zitto anafaidiaka na mfumo huu wa ccm; ni dhahiri ana mgao wa kutosha kutoka katika mfumo huu batili kabisa katika jamii yoyote duniani; zitto anatweety. Akili za aina hii sijui hatawanapataje bahati kupata hata nfasi za ubunge, nilitegemea aeleze hoja then atoe uchambuzi wa kitafiti kupingana na hoja za warioba; by th way already rasmu tunayo tayari uda mrefu alitegemea wanakuja kutoa tofauti?

Maelezo ya warioba kiukweli ni opportunity kubwa sana tena yenye suluhisho

Zitto: "Tujidae kisakolojaia kuvunjika kwa muungano"
 
Kwa hiyo ana maana kuwa matatizo ya ndoa ukae nayo mpaka mke akutoe roho , huyu kijana punguani
Mie nildhani watu wanaovaa miwani ni wasomi,nimeenda kijijini juzi nikamkuta babu amenunua miwani kwa wamachinga nikamuuliza kulikoni,akadai nayeye anataka aonekane kasoma. January na babu yangu lao moja.
 
Mi napita jk kadharaulisha sana cheo chaque urais si unaona hâta vichaaa wanautaka sasa
 
Huyo jamaa amekuwa Zuzu sana.amesahau ana wakilisha wananchi.Nafikiri ameanza kazi rasmi ccm "A" au ccm "B"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom