Twende kazi

Twende kazi

Anaetoa hela anaua ndege wawili kwa wakati mmoja. Maana kutoa ni kujali pia mkuu.
 
Be serious kidogo😁😁😁,,,huku njaa zinauma,nywele zimefumukaaa,kikoba nadaiwa hisa?
Haya, compare hiyo na Anakupa hela ila kauzu kinoma, hacheki.."mama robhi shika iyo era inama nkuweke.."
 
Haya, compare hiyo na Anakupa hela ila kauzu kinoma, hacheki.."mama robhi shika iyo era inama nkuweke.."
Kiroho Safi kabisa mama rhobi atatii amri😁😁...Sasa wewe weka baby baby tujifungie ndani siku nzima,ikifika saa kumi na moja njaa zinaanza huna hata ya kununua dagaa,ndio utajua baba Rhobi ana umuhimu gani
 
Back
Top Bottom