otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 132
- 230
Mwanaume anayetoa hela na mwanaume anayejali bora yupi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dina natamani tufanye kolabo ujue[emoji2827]Anaejali Ndio anatoa hela pia
Colabo la aje mshana?Dina natamani tufanye kolabo ujue[emoji2827]
Urafiki usio na mawaaColabo la aje mshana?
Kupetty pettyKama kutoa hela sio kujali,kujali Ni kufanyaje?
Be serious kidogo😁😁😁,,,huku njaa zinauma,nywele zimefumukaaa,kikoba nadaiwa hisa?Kupetty petty
Mshana kabla ya kolabo na Dina hebu tuambie Kwanza ile muvi na masai dada iliishaje..Urafiki usio na mawaa
Hebu nikumbushe maana umri umesonga sasaMshana kabla ya kolabo na Dina hebu tuambie Kwanza ile muvi na masai dada iliishaje..
Kujali ni ku bang na ku take off chinchillasKama kutoa hela sio kujali,kujali Ni kufanyaje?
Kwenye ile muvi inasemekana the lady masai alipigwa na kitu kizito...wewe ulicheza Kama Nani?Hebu nikumbushe maana umri umesonga sasa
Nadhani nilicheza scene ya sangoma au?Kwenye ile muvi inasemekana the lady masai alipigwa na kitu kizito...wewe ulicheza Kama Nani?
Haya, compare hiyo na Anakupa hela ila kauzu kinoma, hacheki.."mama robhi shika iyo era inama nkuweke.."Be serious kidogo😁😁😁,,,huku njaa zinauma,nywele zimefumukaaa,kikoba nadaiwa hisa?
Kiroho Safi kabisa mama rhobi atatii amri😁😁...Sasa wewe weka baby baby tujifungie ndani siku nzima,ikifika saa kumi na moja njaa zinaanza huna hata ya kununua dagaa,ndio utajua baba Rhobi ana umuhimu ganiHaya, compare hiyo na Anakupa hela ila kauzu kinoma, hacheki.."mama robhi shika iyo era inama nkuweke.."
Sio kweli!Kujali ni ku bang na ku take off chinchillas