- Thread starter
- #21
Wachache mno kaka...halaf weng mpaka wajipate waanza hyo michakato ni umri mkubwa..ila huku watu wanaanza michakato mapema 16yrs ni kawaida kukuta madogo wanapiga kaz mahal...had unakaa nao unawapa history yako unaona aibu..kiukwel ngoz nyeus inabid tubadilike...na hawachagui kaz
Watu mbona wanapiga kazi saa 11 asubuhi wapo barabarani mpka saa4 za usiku 😀