Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Amina,, Kwetu sote myNa kwako pia....Mwenyezi Mungu akulinde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina,, Kwetu sote myNa kwako pia....Mwenyezi Mungu akulinde
Hamna hiyo kazi dunia yote.Watu mbona wanapiga kazi saa 11 asubuhi wapo barabarani mpka saa4 za usiku 😀
Kazi inatakiwa ulipwe, sasa kubeba kuni za kupikia nyumbani kwako nani atakulipa?Unaongelea efficiency; effectiveness au kupita kazi ? Kwamba waafrica ni wazee wa kukaa vijwieni ? Nadhani pitia madesa yako upya.... Hard work does not Necessary Pay; Especially hii dunia ya Kilaghai...
View attachment 2964659
Kwahio kazi ni kazi iwapo ina ujira ? Kwahio sio kwamba kule ni wachapa kazi bali kuna ajira zenye ujira wa kutosha kuliko huku.....Kazi inatakiwa ulipwe, sasa kubeba kuni za kupikia nyumbani kwako nani atakulipa?
Hata wanaolipwa Million bongo wavivu tu, watu wapo ofisi kubwa wanapiga pesa nyingi ila hawajitumiNadhan wenzetu nafasi za kazi zipo nyingi sana kutokana na viwanda ni vingi, ndio maana mtu anaweza kufanya kazi hata tatu kwa siku na analipwa kwa masaa
Kwahiyo wana kila sababu ya kupiga kazi sana
Efficiency ni 2/10...kama tunapiga kaz bas tunapiga kaz kwenye mambo yasiyo na tijaUnaongelea efficiency; effectiveness au kupiga kazi ? Kwamba waafrica ni wazee wa kukaa vijwieni ? Nadhani pitia madesa yako upya.... Hard work does not Necessary Pay; Especially hii dunia ya Kilaghai...
View attachment 2964659
Kaka unabisha nin sasa..huku hata shehem za kaz efficiency ya mtu mweusi na mweupe ni tofaut .we huon weusi america kila siku wanalaumiwa ,sio watu wa mida .kaz hafifu..uvivu etc .unafkiri wamasingiziwa..tunayashuhudia kila siku...tuna maguvu ila tunapenda sana kupumzika na kula bataKwahio kazi ni kazi iwapo ina ujira ? Kwahio sio kwamba kule ni wachapa kazi bali kuna ajira zenye ujira wa kutosha kuliko huku.....
Kati yako wewe mwenye hekari mia moja kule kijijini uliyeajiri watu wanaolima asubuhi mpaka jioni na kuwalipa ujira huku unakunywa gahawa ni nani mchapa kazi ?
Ndio maana nikasema labda ungesema wapo effective na efficiently lakini sio necessarily they work harder - Inawezekana workdone ni kubwa zaidi lakini haimaanishi (jitihada inayowekwa ni necessarily kubwa zaidi); Africa kinachotu-cost zaidi ni marginalization sio necessarily being lazy... Watu Tunao Shida ni Siasa Chafu na Uongozi Mbovu.... Bila kusahau faulo za Developed Countries...
Unaongelea Black Americans zao ambalo mababu zao wametumikishwa wamekua kwa kutokuamini system na kuelewa kwamba system ni against them ? Wana chuki na hawana uzalendo na hio nchi (na ni kweli mababu zao hawakupewa a level playing field) Unataka kuniambia mababu zao kwenye cotton plantations walikuwa wavivu au wale wanyampara waliowafanyisha kazi ndio walikuwa wavivu...Kaka unabisha nin sasa..huku hata shehem za kaz efficiency ya mtu mweusi na mweupe ni tofaut .we huon weusi america kila siku wanalaumiwa ,sio watu wa mida .kaz hafifu..uvivu etc .unafkiri wamasingiziwa..tunayashuhudia kila siku...tuna maguvu ila tunapenda sana kupumzika na kula bata
Hiyo 5000 igeuke kuwa malipo kwa lisaa limoja utaona watu watakavyopiga kazi .kazi masaa 12 halafu mshahara 5000
Wanajituma katika kufanya kazi, kwa sababu wanalipwa vizuri. Mwajiri asipokujali, hata ile bidii ya kufanya kazi, inakata. Maana ukikaa unawaza utatokaje kwenye lindi la umasikiniYaani tusijidanganye hata siku moja.
Watu weusi tunajisemaga tuko na maguvu etc..
Ila kwa jinsi hawa wenzetu ngozi nyeupe wanavyopiga kazi speed yao kama umekaa kibwegebwege utakuwa unalia kila siku
Hawa jamaa ni nuksi jamani, yaani huku kufanya kazi saa 12 + ni jambo la kawaida sana.
Halafu wako speed kama legelege lazima utapike dagaa.
Watu weusi tuko polepole sana hata kazi nchini kwetu infact ukisema u rate kwenye scale ya 10
Hawa wenzetu wako 9/10 sis tuko 1/10
Yaani hakuna kitu wakuu, nadhani hii ndio siri kubwa ya wao kutupiga gap la maana achana na kelele za ohh walikuja kuiba malighafi Afrika hizo ni kelele za kujitetea tu hawa jamaa ni watafutaji yaani wana ile spirit ya kichaga na kikinga mara 100
Ni hayo tu wadau, tupambane. sana
Na haijalishi ni me au ke hawa watu ni hatari na wanaanza michakato wadogo kabisa yaani 18yrs mtu anapiga kazi
Video iko wapi? Vijana mkishapata Vi scholarship vya mabeberu mkaenda huko mnatuona wajinga.Yaani tusijidanganye hata siku moja.
Watu weusi tunajisemaga tuko na maguvu etc..
Ila kwa jinsi hawa wenzetu ngozi nyeupe wanavyopiga kazi speed yao kama umekaa kibwegebwege utakuwa unalia kila siku
Hawa jamaa ni nuksi jamani, yaani huku kufanya kazi saa 12 + ni jambo la kawaida sana.
Halafu wako speed kama legelege lazima utapike dagaa.
Watu weusi tuko polepole sana hata kazi nchini kwetu infact ukisema u rate kwenye scale ya 10
Hawa wenzetu wako 9/10 sis tuko 1/10
Yaani hakuna kitu wakuu, nadhani hii ndio siri kubwa ya wao kutupiga gap la maana achana na kelele za ohh walikuja kuiba malighafi Afrika hizo ni kelele za kujitetea tu hawa jamaa ni watafutaji yaani wana ile spirit ya kichaga na kikinga mara 100
Ni hayo tu wadau, tupambane. sana
Na haijalishi ni me au ke hawa watu ni hatari na wanaanza michakato wadogo kabisa yaani 18yrs mtu anapiga kazi
Hata sisi tunaweza:Nadhan wenzetu nafasi za kazi zipo nyingi sana kutokana na viwanda ni vingi, ndio maana mtu anaweza kufanya kazi hata tatu kwa siku na analipwa kwa masaa
Kwahiyo wana kila sababu ya kupiga kazi sana
Hili la kukosa uaminifu linatugharimu sana kama taifa. Yaani leo hii uwe na unaishi dar halafu uwe na biashara mbeya ni jambo ambalo haliwezekani kibongobongoTatizo la mwafrika anataka kufanya biashara peke yake na kuajiri watu wawili au3 maisha yote
Ni nadra sana kuona weusi 20 wameajiri watu 1000
Tatizo ni kutokuaminiana
Watu badala wachape kazi wanawaza kuiba tu
Tofauti na wenzetu ambapo mzungu anaweza akakuambia simamia kazi na ukafanya kama mali yako bila hiyana kwa sababu una wote ni wamoja na kampuni inajiendesha hata kama boss akiwa hayupo
Huku manager anafanya kazi na kuajiri na kufukuza ila mbongo ataitwa majina kibao ooh kiherehere au anajipendekeza
Thamani ya hela pia zinapishana kwa hiyo labda wizi huko unachangia kwa hilo lakini sio umasikini ukufanye uwe mwizi bali ni hulka ya mtu.
Kuna watu hawana kitu na kuiba mwiko
Ubinafsi naona ni mwingi kwa mweusi na kutokuaminiana pia