Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

Wachache mno kaka...halaf weng mpaka wajipate waanza hyo michakato ni umri mkubwa..ila huku watu wanaanza michakato mapema 16yrs ni kawaida kukuta madogo wanapiga kaz mahal...had unakaa nao unawapa history yako unaona aibu..kiukwel ngoz nyeus inabid tubadilike...na hawachagui kaz
Watu mbona wanapiga kazi saa 11 asubuhi wapo barabarani mpka saa4 za usiku 😀
 
Maisha ya waafrika yanatia hasira sana mkuu, kuna wakati mtu unaona kuzaliwa afrika tu ni hasara kubwa mno, halafu mbaya zaidi ukiyaambia ukweli hayataki kukubali kutwa kuitupia lawama serikali tu
 
Hahahhaaaaa bongo unasikia ana 25 huyoo bado mdogo 😀
 
Huku endeleeni kulaumu Samia na kuombewa mpate miujiza
 
Ni aibu kaka..huku speed ya hawa watu inatisha..unakuta kitoto miaka 16 kishafanya kaz shamban.supermaket etc..yaan
Kule kwa wenzetu unakuta kitoto cha miaka 16 kinalilia emancipation toka kwa wazazi wake, wenyewe wanaita sweet 16 hawasubiri wafike miaka 18 eti ndio wajione wakubwa, huku kwetu eti kijana wa miaka 30 anajiona mtoto yani yeye anajiona bado hajafikia umri wa kuanzisha familia wala kuwa tajiri
 
True for 100 percent.
 
Wao wana maisha yao nasi tuna yetu,,, kwahiyo tusiwaze sana kikubwa tuchape kazi
 
Ujutume kwa bakhresa alafu unapewa 4000 a u Silas kule mkwanja mrefu ndo maana wakimbizana na muda kila lisaa ni pesa kwao ila huku umbuzi mwingi......ukija na mada kama hii umatakiwa uweke na scale za misharaaa bosa
Huyu mdau amekurupuka tu, kama ange-dig deep aisee angewaonea huruma hawa wafanyakazi.
 
Wao wana maisha yao nasi tuna yetu,,, kwahiyo tusiwaze sana kikubwa tuchape kazi
Mkuu tukiendelea kuwa na mentality ya aina hii basi tusahau kuhusu maendeleo, yani kama hadi leo kijana akipata pesa kidogo tu anawaza ngono ambayo anajua kuipata lazima ahonge hicho kipato chake kidogo alichokitafuta kwa taabu, basi bado tuna safari ndefu sana maana mtu hadi aje afikie umri wa kutulia na kuachana na kurukaruka na wanawake na kuwaza maendeleo basi atakuwa tayari kashafikia uzeeni huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…