Uchaguzi 2020 Twende na Bernard Membe, tuunde Serikali ya kazi na bata! Naomba kura zenu

Uchaguzi 2020 Twende na Bernard Membe, tuunde Serikali ya kazi na bata! Naomba kura zenu

Hata angekuwa CCM huyu ndugu yetu hana mvuto wa kisiasa, ongea yake hata uenyekiti wa kijiji haumfai
So the guy is over rated?

Kwa kuwa yupo humu, ni vizuri ujumbe wake aupate.
Cc Bernard Camilius Membe
 
Uongozi ni Dhamana
Uongozi ni Kujitoa
Uongozi ni Sadaka
Uongozi ni Upendo,
Uongozi ni Umoja
Uongozi ni Uzalendo,
Uzalendo ni Uwazi
Uwazi ni Ukweli
Ukweli ni Maamuzi
Maamuzi ni Matokeo
Matokeo ni Matokeo
HAKI ni AMANI na AMANI ni HAKI.
Tukafanye Maamuzi Mazuri Tarehe 28|10|2020.
 
So the guy is over rated?

Kwa kuwa yupo humu, ni vizuri ujumbe wake aupate.
Cc Bernard Camilius Membe
Na watu wakamjaza upepo kuwa anaweza akawa Rais [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2], tena kupitia ACT [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787] maajabu haya, watu wabaya sana aisee.
Si bora angegombea udiwani?
 
Anakwenda kukwangua kura za Tundu mikoa ya kusini
Membe, wanadai wewe umetumwa na CCM kuja kugawa kura za upinzani. Je, kilichokuondoa CCM ni nini? Na humuwezi Lissu ki ukweli.

Kosa lako ulilofanya ni kumdharau mwenyekiti wako, ilitakiwa kukaa kimya washangae tu umechukua fomu.
 
Huyu jamaa jasiri sana..., kwa hizi sarakasi hata roho haimsuti ?
 
Wewe, Maalim Seif na Zitto kabwe mnatuchanganya, wenzako wanasema wanamuunga mkono lissu halafu unasema tukupe kura..MKANGANYIKo
 
Kimzaha mzaha, Membe anakuwa Rahisi wa Tz, anampiku Rais Magufuli na rais Lissu!
 
Kama huyu ndiyo jasusi mbobezi, kama taifa tumeisha! 😂

Huyu ni mchekeshaji mbobezi! Joti asubiri!

Everyday is Saturday................................😎
 
Back
Top Bottom