Utapataje kura wakati hufanyi kampeni mheshimiwa. Wenzako wanakimbia huku na kule.
Hajibu PMGo for it utaleta mrejesho
Na hutajibiwa hawanaga huo muda hao. Tulia uone picha..πHajibu PM
Hivi Hashim Rungwe yupoMembe ninaumia sana jinsi Chadema walivyokufanyia
Naomba uwakaripie wale watu ni wabaya sana
Na watu wakamjaza upepo kuwa anaweza akawa Rais [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2], tena kupitia ACT [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787] maajabu haya, watu wabaya sana aisee.So the guy is over rated?
Kwa kuwa yupo humu, ni vizuri ujumbe wake aupate.
Cc Bernard Camilius Membe
Muda wanao sema wanaogopa wasiojulikana kama mieNa hutajibiwa hawanaga huo muda hao. Tulia uone picha..[emoji23]
Membe, wanadai wewe umetumwa na CCM kuja kugawa kura za upinzani. Je, kilichokuondoa CCM ni nini? Na humuwezi Lissu ki ukweli.
Kosa lako ulilofanya ni kumdharau mwenyekiti wako, ilitakiwa kukaa kimya washangae tu umechukua fomu.
Hujajua wewe.. njoo huku basi ..πMuda wanao sema wanaogopa wasiojulikana kama mie
Ukwapi?Hujajua wewe.. njoo huku basi ..[emoji6]
Chumbani..Ukwapi?
Hata mi sina ila njoo tuutafute Sasa tulale..Mi hata sina usingizi