Bernad Membe mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT kesho anatarajia kufunga kampeni katika mkoa wa Lindi?
Hawa kina Bernard mwaka 2020 wamekuwa wana shida sana .
Bernad Membe- ndo hivyo tena anataka afunge ambacho hajawahi kukifanya
Bernad Morrison-kila mtu anajua shida yake
Bernad Paul (Ben pol)-na yeye kamsaliti yesu kisa pesa kidogo
Kina Bernard mna nini lakini?