Twende na ukweli haujawahi ku-date na mdada mwenye makalio makubwa zaidi ya miezi 7

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
822
Reaction score
2,966
average ya muda mdada mwenye makebo makubwa kukuvumilia ni miezi mitatu hadi sita, kuongeza na mwezi mmoja wa wewe kulia lia ili mrudiane ni miezi 7.

Ukiona mdada mwenye makebo makubwa yupo na wewe mwaka mmoja hadi miwili ujue ana pata uhuru wa wewe kutomfatilia na yeye kuridhika na mfuko wako kuendana status ya makebo yake.
 
Sijui faida unayotaka ni utelezi au njia ya buza
 
average ya muda mdada mwenye makebo makubwa kukuvumilia ni miezi mitatu hadi sita, kuongeza na mwezi mmoja wa wewe kulia lia ili mrudiane ni miezi 7.

Ukiona mdada mwenye makebo makubwa yupo na wewe mwaka mmoja hadi miwili ujue ana pata uhuru wa wewe kutomfatilia na yeye kuridhika na mfuko wako kuendana status ya makebo yake.
Wewe jamaa kwani unalipwa kujaza nyuzi za kipuuzi jukwaani au ni tatizo la ajira ?
 
Back
Top Bottom