Twendeni mbele na turudi nyuma au basi twendeni mbele tu

Twendeni mbele na turudi nyuma au basi twendeni mbele tu

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
712
Reaction score
1,748
Baba mchungaji songa mbele tu wala usirudi nyuma
FB_IMG_1665461488160.jpg
 
Sio mchezo aisee mimi nimeangalia nikaanza kujiuliza hivi ni mimi tu na macho yangu au kila mtu anaona km ninvyoona mimi? 😂😂😂🙌🏻
 


Katibu Ulitufanyizia Kazi Kweli Kweli

Feel Free Church, Yaliyomo Yamo! Jambo Lipo



Ukimstahi Mke, Ndugu Huzai Naye
By Mjomba Mpoto
 
Hi ndo inanikumbusha pale zinga bagamoyo jamaa alichinja mke na mtoto.
Shida yule mwanamke alikuwa anamtambia mwanaume kuwa mtoto siyo wake.
Jamaa mpaka Leo yupo jela
 
Kwa kifupi hawa madogo vijana wa hovyo weka mbali na mke, kwangu nyumbani hakuna mdogo wangu wa kiume anayeruhusiwa kuishi, usikubali wala usipende mazoea yoyote, hamna cha undugu, kuwa mkali kwa wote, chora mpaka, hamna cha shemeji wala nini kaa mbali, vijana vya hovyo hivi vinakuchekea ila vinajilia mzigo.
 
Back
Top Bottom