Twendeni na Tundu Lissu tuachane na viongozi wanaoendekeza rushwa ndani ya chama

Twendeni na Tundu Lissu tuachane na viongozi wanaoendekeza rushwa ndani ya chama

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Uchaguzi wa CHADEMA unafanyika mapema mwaka ujao. Mimi nawasihi Wana CHADEMA twende na Tundu Lissu tuachane na Viongozi wanaoendekeza RUSHWA ndani ya Chama.

Tundu Lissu atakijenga Chama chenye weledi pasipokuwa na harufu ya Rushwa. Kama mgombea wa Nafasi ya Makamu Mwenyekiti ametajwa hadharani na Lissu kuwa anahusishwa na rushwa huyo mgombea kwa namna yeyote ile hawezi kuwa mwadilifu.

Twendeni na Lissu ili Chama kiwe imara.
 
Back
Top Bottom